Pages

Subscribe:

Thursday, November 17, 2016

JAPAN WAKARABATI BARABARA ILIYO BOMOKA NDANI YA SIKU MBILI

Wiki iliyopita iliripotiwa habari ya shimo kubwa lilitokea baada barabara kuporomoka ghafla katikati mwa moja ya miji mikubwa zaidi nchini Japan. 

Ilielezwa kuwa Mporomoko huo ulianza kwa mashimo mawili madogo ambayo baadaye yalianza kupanuka hadi kuwa shimo kubwa lenye kina cha...
mita 30 na upana wa futi 98.
mako45

chww4
Sasa November 15 2016 imeripotiwa kuwa barabara hiyo imefunguliwa, unaambiwa imefanyiwa ukarabati kwa muda wa siku mbili.

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment