skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND AJA NA MANUKATO YAKE YENYE JINA LA CHIBU
Mkali wa wimbo Salome, Diamond Platnumz ameonyesha sample yake ya kwanza ya
bidhaa yake mpya ya perfume ‘ChibuPerfume’ inayotarajiwa kuingia sokoni
siku za usoni.
Muimbaji huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa tayari kwa ajili ya
ujio wa bidhaa hiyo ambayo itapatikana katika maduka mbalimbali ya vipodozi
nchini.
Kupitia facebook, Diamond ameandika:
About to make another History @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve soon will
be...
in your favorite store!
Video ikionyesha marashi hayo ipo hapa chini.
0 comments:
Post a Comment