Pages

Subscribe:

Friday, November 18, 2016

KAULI YA OMMY DIMPOZ KUHUSU KUTUMIA LOCATION ALIYO TUMIA DIAMOND NA HARMONIZE


Wafumbuzi wa mambo wamezinyaka za chini ya kapeti katika video ya wimbo mpya ya wakali wawili wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz na Alikiba unaoitwa Kajiandae kwamba moja kati ya locations ambazo zimetumika katika kushoot video hiyo ilikwisha tumika katika viideo Bado ya Diamond Platnumz na Harmonize.

Akipiga story Ommy Dimpoz na alipo ulizwa ilikuwaje mpaka ikatokea wakali hao kwenda kushoot video yao sehemu ambayo Diamond amekwisha itumia kushoot, na Ommy Dimpoz amefunguka...
ipasavyo juu ya suala hilo.

Ubuyu kamili nimekuwekea hapa chini, play hii video kumsikiliza Ommy Dimpoz alivyokuwa akipiga story

Listen Here 

0 comments:

Post a Comment