Pages

Subscribe:

Tuesday, November 8, 2016

KAULI YA WEMA SEPETU BAADA YA DIAMOND KUTWAA TUZO TATU


Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu ninaweza nikasema ni mwanamke wa kwanza kumpongeza Diamond platnumz kwa ushindi wa Tuzo 3 za Afrima alizoshinda usiku wa juzi kuamkia jana. 

kupitia Ukurasa wake wa Instagram ndio umethibisha jambo hilo, akiwa amepost picha na kuiandikia maneno haya...

“Makofi matatu kwa tuzo tatu ….”Tanzania ‘s pride..” sema picha hii kali saanaaaa…utasema sio wa tandalee (Sorry Bro)…Congrats once again”.
Kwa ujumbe huo ni dhahiri hakuna tena tofauti ambazo awali zilikuwa zikiendelea chini chini kati ya wawili hao kwa muda mrefu sasa, baada ya kubwagana.
Hapa nimekusogezea post hiyo.
wemw-231x300wema-ujum-300x120
Kukumbusha tu ni kwamba Diamond Platnumz usiku wa jana alishinda Tuzo tatu za Afrima zilizofanyika Jijini Lagos Nchini Nigeria.

0 comments:

Post a Comment