Pages

Subscribe:

Wednesday, November 9, 2016

MABESTE: MIMI BILA LISA SI CHOCHOTE


14733658_1879029112328063_7165559433320202240_n
Msanii wa muziki wa Hip Hop William ‘Mabeste’ Ngowi amedai kuwa pasipo mkewe Lisa yeye si chochote. Wawili hao wana wiki mbili tangu wafunge ndoa.

Rapper huyo ameliambia gazeti la Mtanzania, “Mke wangu ni kiongozi shupavu mwenye upeo Mkubwa, nadiriki kusema kwamba bila yeye mimi si chochote katika maisha yetu.” Kwa sasa Mabeste...
na Lisa wanatarajia kupata mtoto wao wa pili baada ya Kendrick.

0 comments:

Post a Comment