Pages

Subscribe:

Friday, November 18, 2016

MAMA DIAMOND AFUNGUKA ILE NYUMBA YA MADALE NI YAKWAKE KAMA KUHAMA ATAHAMA DIAMOND NA ZARI

Nasemaje bim'danga Mama Chibu Ndo kishasema Mjengo wa Madale anaumiliki yeye, na wale waliokua wakimsimanga kuwa awapishe Kina chibu Na Zari kwenye Mjengo washindweeee.

Bi Maza anasema wataondoka wao Na wajukuu ila yeye wa hapahapa haondoki ng'ooooooo, Hiyo imekuja baada ya kukumbusha kauli ya Diamond kabla hajatoka ya kuwa nyumba ya...
kwanza kujenga itakuwa zawadi kwa mama.

0 comments:

Post a Comment