Ushindi wa Donald Trump kuwa Rais mteule wa Marekani umeonekana kuwakera mastaa wakubwa wa nchi hiyo kutokana na sera zake.
Rapper huyo ameonekana kuchukizwa zaidi na sera ya Trump ambayo inaelekeza kuwaondoa watu wote wanaoishi bila kibali maalum kwenye nchi hiyo ikikadiriwa zaidi ya watu milioni tatu watakumbwa na...
fagio hilo. Nicki Minaj amemdiss kwenye wimbo wake mpya ‘Black Barbie’.
Donald Trump
“I see these silly nigga’s flexin,” It’s a no zone you gonna be foatin in dem rivers like you know Joan Island girl, Donald Trump want me to go home. Still pull up with my wrist looking like a snow cone.” amerap Nicki
Sikiliza wimbo huu hapa chini
0 comments:
Post a Comment