Pages

Subscribe:

Wednesday, November 2, 2016

SHILOLE AITOLEA DUKUDUKU KAMATI YA MISS TANZANIA


Ukitazama kwa makini utagundua.... siwakilishi igunga tu.. bongo nzima mpaka africa.. a girl with good heart, loving and most of All mimi MTAMU Balaa😀😅🙈 #mtotomdogo

Mengi yakiwa bado yanazungumzwa kuhusu ishu ya Miss Tanzania 2016, Shilole nae amekuja na povu lake juu ya Kamati ya Miss Tanzania.

Shilole ni moja kati ya wasanii wakike ambao taarifa za kidaku huwa hazichezi mbali na yeye, yaani automatic tu anajikuta yupo katika stori za kidaku ila leo Shishi Baby aliamua kuifunguka Povu lake kuhusu...
kamati ya Miss Tanzania.

Shilole amesema kwamba Povu lake yeye linamuuma sio kwamba anajitetea yeye kama yeye ila ametoa povu hilo kutetea industry nzima ya muziki wa Tanzania hii imetokea ni baada ya kusapoti sana miziki ya nje kuliko hii ya kwetu.

0 comments:

Post a Comment