Tuzo za EATV Awards 2016 Jumatano hii zimefanya semina maalumu na wasanii wanaowania tuzo kutoka katika vipengele mbalimbali vya tuzo hizo ambazo kilele chake kinatarajiwa kuwa Desemba 10 mwaka huu.
Semina hiyo ilihusisha viongozi wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA), waandaaji wa tuzo hizo (EATV) pamoja na nominees kutoka katika vipengele vyote huku mada kubwa ambayo ilitawala kwenye semina ni...
sheria na vigezo vya tuzo hizo na jinsi washindi wanavyopatikana. Angalia picha za semina hiyo.
Mmoja kati ya waratibu wa tuzo hizo, Bhoke Egina akifafanua jambo.
Mtafiti wa shughuli za sanaa kutoka Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) Bwana Selemani akizungumza na wasanii wanaowania tuzo.
Mayunga
Mtangazaji wa EA Redio, Zembwela akifafanua jambo
Shetta
Navy Kenzo



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment