Pages

Subscribe:

Wednesday, November 2, 2016

TEKNO KUUNGANA NA ALIKIBA, DAVIDO NA WIZKID SONY MUSIC

Mkali wa ‘Pana’ Tekno inawezekana akajiunga ‘Sony Music Global’ hivi karibuni.
Kwa mujibu wa post aliyoweka boss wa Upfront & Personal, muanzilishi wa tamasha la ‘One Afrika’ Paul O akiwa kwenye makao makuu ya label hiyo kubwa duniani, New York amedai Tekno anasaini ‘Major’ dili na Sony Music Global.

Iwapo Tekno atafanikiwa kusaini na Sony basi atakuwa ameungana na Davido, Wizkid, Alikiba na Ycee aliyesaini wiki...
chache zilizopita.

0 comments:

Post a Comment