Pages

Subscribe:

Monday, November 7, 2016

WIZKID AMBWAGA ALIKIBA TUZO YA MTV EMA

Hatimaye mshindi wa MTV Ema ametangazwa usiku wa jana na kipengele cha African Act huku Wizkid akitangazwa mshindi. Alikiba aliekuwa na matumaini makubwa kushinda ameangukia pua Wizkid amewashinda Cassper nyovest Olamide Black coffie & Alikiba Mwaka jana mshindi alikuwa Diamond platnumz

0 comments:

Post a Comment