Moja kati ya issues ambazo zimetrend kinoma wiki iliyopita ni pamoja na hii skendo ya Ngono ya binti anayesemekana kuwa ni Paula mtoto wa muigizaji Kajala na producer mkongwe P Funk Majani.
Kitu ambacho kiliwaumiza sana wazazi hao wawili, na kudai kuwa binti aliye kwenye video ile ya ngono hakuwa binti yao na kupelekea kutoa mapovu sio ya pole pole mitandaoni. Jana kwenye On Point ya CLouds FM Mtangazaji aliamua kupiga story na P Funk Maajani ambaye ni baba mzazi wa Paula na kuzungumza...