“Kuhusu tattoo I don’t know nimejikuta tu nimependa tu tattoo, hazinaga...
maana yoyote ninapoona kuna au nimelipenda nachora.” Malaika ameiambia Bongo5.
“Tattoo yangu ya mguu naipendaga kwa sababu nikiwa naingalia nahisi kama ni manyoya yanapita nakuishi huko juu na mambo mengine yanaendelea,” ameongeza.
0 comments:
Post a Comment