Pages

Subscribe:

Saturday, September 9, 2017

RICK ROSS AENDELEA KUWA KIMYA LAKINI MWANAMKE ALIYE ZAA NAYE AENDELEA KUPOST HAYA INSTAGRAM



Rick Ross na model Briana Camille wamepata mtoto wa kike. Bado Ross hajatangaza lakini girlfriend wake amepost picha Instagram ya zawadi alizopata baada ya kujifungua.

Haijulikani kama bado Ross na Camille wapo pamoja kwakuwa rapper huyo anadaiwa kuwa na uhusiano na mkurugenzi katika kampuni ya...
Twitter, Liz Hagelthorn.

ktk Instagram page ya Briana amepost picha kadhaa hizi hapa chini

Mommy's sweet toes #BHR
 

💝 choose love ❤️



🤦🏼‍♀️ Daddy starting bad habits already

Ross tayari ana mtoto wa kike, Toie Roberts, na wa kiume Williams Roberts III aliowapata katika mahusiano yake ya zamani.

0 comments:

Post a Comment