Akizungumza na mwandishi, Riyama amesema mwanzoni alipata changamoto kubwa hususan kutoka kwa mashabiki wake, lakini aliamua...
kutulia na mwenzi wake huyo, huku akichukulia mapungufu yake na kuyakubali, na hatimaye kuweza kufikia hatua ya kufunga ndoa takatifu.
Riyama amesema iwapo mtu yeyote atachukulia mapungufu ya mwenzake, kuvumilia na kuheshimiana, ndiyo silaha kubwa ya kudumu kwenye mahusiano bila kuzingatia umri, na sio kubadili wenza kwa sababu tu ana kasoro fulani, kwani hakuna aliye mkamilifu.
0 comments:
Post a Comment