Pages

Subscribe:

Tuesday, September 5, 2017

WOLPER AVUNJA KIAPO ALICHO KULA BAADA YA KUMPOST MPENZI WAKE


MKALI kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper amevunja kiapo alichokula kwamba kamwe hatamwanika mpenzi wake kwenye mitandao baada ya kujiachia kimahaba bila kuogopa chochote. 

Siku kadhaa zilizopita, Wolper alipozungumza alisema kuwa, baada ya kuachana na mpenzi wake wa zamani waliyekuwa wakijiachia mitandaoni alisema endapo...
atapata mpenzi mwingine kamwe hatamwanika, lakini sasa anaonekana kuvunja kiapo hicho.

Don't allow anyone to kill your vibe when you're in a good place, protect it

“Wolper aliapa kwamba hatamwanika tena mpenzi wake, lakini sasa hivi anajiachia kimahaba na huyo Brown na kutupia picha za kimahaba mitandaoni bila kujali alichojiapiza mwanzo,” alisema mmoja wa mashabiki waliosoma gazeti ambalo Wolper alijiapiza. Kwa upande wake Wolper aliruka kujibu ishu hiyo.

Stay Real 💯
 

Ma'black 🔥

0 comments:

Post a Comment