Pages

Subscribe:

Thursday, December 31, 2015

HUYU NDIYE MISS WA KWANZA TANZANIA ALIYE TWAA TAJI MWAKA 1967

Mwaka 1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayatakuwa na
muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika kwenye maeneo machache.
Kwani kumbukumbu zilizopo zinaonyesha kwamba mrembo wa kwanza kunyakua
taji hilo la Miss Tanzania, si mwingine bali alikuwa Theresa Shayo.


Kutokana na maadali na utamaduni ya mtanzania serikali ililazimika
kuyapiga marufuku mashindano hayo ilipofika tu mwaka 1967, kabla ya Rais
wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi kuyaruhusu kuendelea kutokana
na...

ROMA: MFUMO WA ULIPAJI MIRAHABA UNAENDA KUTUINGIZA KWENYE VITA



12105229_1668899886720358_1089964568_n
Roma anahisi mfumo wa vyombo vya habari kulipa mirahaba kutokana na uchezaji kazi za wasanii utakaoanza January utachimba kaburi kwa muziki wa Tanzania.


Tunaingia katika vita ambayo tutawapoteza wapiganaji wetu wengi sana mahiri na wale watakaosalimika ni wachache sana!! Na sio kama watasalimika kwakuwa wanajua saaaana kupigana au wanazijua mbinu za kivita No. Ni kwakuwa tu walipewa...

CHEGE AANZA KUINUSA MTV BASE NA NGOMA YA SWEETY SWEETY



chege nw
Ni ndoto za kila msanii anayewekeza pesa zake kwenda kufanya video nje ya nchi na waongozaji wa nje kuona video yake inampigisha hatua moja mbele, moja wapo ikiwa ni kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya nje.


Chege ni miongoni mwa wasanii walioachia video mpya hivi karibuni, na video yake ya ‘Sweety Sweety’ iliyoongozwa na Justin Campos wa kampuni ya Gorilla Films baada ya kupata airplay kwenye kituo cha MTV Base kwa...

MASHABIKI WAWAJIA JUU SAUTI SOL, WAITWA MASHOGA KWA SABABU HII



sauti neti
Kundi la Sauti Sol la nchini Kenya limejikuta likikabiliana na mashambulizi kutoka kwa mashabiki wao, baada ya kutinga mavazi ambayo yameleta tafsiri tofauti kiasi cha kusababisha wengi wazungumzie zaidi mavazi tena kwa mtazamo hasi, badala ya onesho walilofanya.

Mashabiki wa muziki wa Kenya wameyabatiza jina mavazi hayo na kuyaita ‘mavazi ya...

Watch & Download: Billnass ft T.I.D_Ligi Ndogo


Watch Here

PENZI LA SHISHI NA NUHU LAOTA MBAWA... SHISHI AFUTA TATTOO YA NUHU

Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’.

Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na...

ALIKIBA AZIDI KUMCHANGANYA JOKATE

Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Jokate Mwegelo, amemsifu msanii mwezake Ali Salehe ‘Ali Kiba’ kwa kutumbuiza muziki na ‘live Band’ kitu kinachoongeza mvuto kwenye maonyesho yake.

Akizungumza na MTANZANIA, Jokate alisema Ali Kiba ni mfano wa kuigwa kwa sababu muziki unakua na soko la kimataifa linahitaji...

Wednesday, December 30, 2015

AFANDE SELE APATA SULUHISHO LA UGOMVI WA DIAMOND NA BLUE


Simba

Mfalme wa Rhymes, Afande Sele ameingilia kati malumbano kati ya Diamond Platnumz na Mr Blue juu ya umiliki halali wa jina ‘Simba.’

Ikumbukwe kuwa Blue ndiye aliyelalamika kuhusu jina hilo lakini Diamond bado hajajibu kitu. Afande anajipanga kurudia wimbo wake ‘Simba Dume’ ambao anataka awashirikishe Diamond na Mr Blue ili kila mmoja ajieleze yeye ni Simba wa aina gani! Patamu hapo…

Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumanne hii, Afande alisema hatua hiyo itawafanya wasanii hao wajielezee wao ni simba wa aina gani.
“Jina la Simba nimeanza kulitumia toka mwaka...

Tuesday, December 29, 2015

TAZAMA PICHA JINSI HOUSE PARTY YA SHILOLE ILIVYO KUWA

SHILOLE23
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole a.k.a shishi bybee ambaye amejipa jina la Karunguyeye siku ya jana alifanya pati nyumbani kwake ‘House Party’ na kuwaalika baadhi ya mastaa wenzake. Kajala, Mwasiti, Linnah,Baba Levo, Baby Madah,Millard Ayo, Tudd Thomas na Makomandoo hao nibaadhi ya watu waliohudhulia pati hiyo.

Tazama baadhi ya picha hapa...

DIAMOND: SIKUKATA JINA LA NAHREEL KWENYE BEAT YA NANA

Diamond


Siku kadhaa zilizopita mtayarishaji wa muziki wa studio ya The Industry, Nahreel alilalamikia kitendo cha utambulisho wake ‘Nahreel on the beat’ kuondolewa kwenye hit song ya Diamond Platnumz ‘Nana’ ambayo ndiye aliyei-produce.


Diamond naye amepata nafasi ya kueleza sababu ya utambulisho huo kutokuwepo kwenye wimbo huo. Baba Tiffah amesema kuwa mwanzoni wakati anataka kushoot video hiyo Nahreel alimpa demo ambayo ilikuwa bado haijawekewa sign hiyo, hivyo baada ya...

Download: Ibrah_Sorry Swahili Version (Justin Bieber Cover)

PicsArt_12-25-03.04.50

Download

NAY WA MITEGO AFUNGUKA KUHUSU MWANAMKE ATAKAYE MUOA

Chagga-na-Nay


Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.


Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya...

HANSCANA AKWAMISHA WIMBO MPYA WA TEMBA KUTOKA

Temba


Temba amedai kuwa Hanscana ndiye aliyesababisha kuharibika kwa ratiba yake ya kuachia video ya wimbo wake mpya, Fundi.


Rapa huyo ambaye miezi michache iliyopita aliwaahidi mashabiki wake kuachia wimbo ‘Fundi’ aliyowashirikisha Yamoto Band na Jokate, ameimbia Bongo5 kuwa kazi hiyo haitoweza kutoka tena mwaka huu. “Nimeshindwa kutoa ngoma kwa sababu nilipanga kutoa audio na video lakini director Hanscana akawa...

CYRILL NDIYE ALIYE MFANYA JUX AACHE KURAP

12112282_968978856493247_182766289650621399_n


Cyrill Kamikaze amesema yeye ndiye aliyefanya kazi kubwa ya kumbadilisha member mwenzake wa kundi la Wakacha, Jux kuacha kurap na kuanza kuimba.
 

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Cyrill alisema hatua hiyo ndiyo ilimfanya Jux aendelee kufanya vizuri zaidi “Mimi ndiye nilimforce sana Jux kuingia kwenye muziki, yaani alikuwa ni mwanangu na ni ndugu yangu. Alikuwa anarap, nikamwambia ‘wewe...

YEMI ALADE AACHIA VERSION YA KISWAHILI YA WIMBO WAKE ''NA GODE'' SIKILIZA HAPA

Yemi-Alade-Na-Gode-Swahili-Version-ART-1024x1024
Msanii wa Nigeria, Yemi Alade ameachia version ya lugha ya Kiswahili ya wimbo wake wa ‘Na Gode’

Listen Here 

Watch & Download: Salamu TMK (Mkubwa Na Wanawe)_Nafsi


Watch Here

NAY WA MITEGO: MIMI NA SHAMSA TULIACHANA VIZURI

Nay wa Mitego amezungumzia jinsi alivyoachana na aliyekuwa mpenzi wake Samsha Ford baada ya mwanadada huyo kudai hataki tena kutoka kimapenzi na mastaa. Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, rapa huyo alisema licha ya kuachana na mwanadada huyo bado ni mshkaji wake na wanapiga stori kama kawaida.
“Mimi binafsi sijui alikuwa anamaanisha nini lakini kitu ambacho naweza kusema mimi na Shamsa bado ni washkaji na hatuwezi kuja kuwa maadui hata siku moja licha ya...

MR BLUE AIBUKA NA KUDAI KWAMBA DIAMOND PLATNUMZ KAMWIBIA JINA

Mr Blue anadai chake.. kwa mujibu wa Kabayser, jina ‘Simba’ analotumia Diamond sasa kwenye post zake kwenye mitandao ya kijamii alilianzisha yeye wiki kadhaa zililopita baada ya kupewa na mashabiki wake.

Blue ameandika kwenye Instagram:Naikumbuka hii post niliipost miezi saba iliyopita pale watu waliponiita jina la simba…ila inanishangaza kuona...

Monday, December 28, 2015

HIVI NDIVYO LULU ALIVYO SHEREHEKEA X-MAS KWAO KILIMANJARO

lulu33
Staaa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ilimbidi afunge safari hadi mkoni Kilimanjaro kwenye kula siku kuu ya Krismasi mwaka huu.
Akiwa yeye pamoja na wazazi wake wote wawili Lulu ameshare nasi picha hizi kupitia ukurasa wake mtandaoni. See pics here...

PICS: DIAMOND, ZARI, ESMA, AY WALIVYO SHEREHEKEA BOXING DAY KWA PAMOJA

diamond2342
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum alisherehekea siku ya Boxing Day kwa kupunga upepo baharini akiwa na mama mtoto wake, Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ pamoja na dada zake , Esma Platinum na Queen Darleen. Vilevile meneja wa diamond Sallam na staa mkongwe AY walikuwepo kwenye boti ambayo Diamond aliltumia kumpeleka fukwe za mbali. See pics inside...

Download: Neyba_Uje


Download

Download: Engine_Utanipenda (Cover)


Download

Saturday, December 26, 2015

Download: Izzo Bizness ft Navio x Mwasiti_Walala Hoi (Rmx)


Download

Download: Nyamos x Leo Mystereo_Mazoezi


Download

Download: Brai_Deka


Download

LADY JAYDEE AHAMISHIA MAKAZI YAKE UJERUMANI

LADYJAYDEE
MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’ kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya ‘Kansela’ wa Ujerumani, Angelina Merkel kwenye Jiji la Born.

Katika mazungumzo yake na mwandishi, Jumatatu ya wiki hii, Jide ambaye alidai kwa sasa yupo nchini kwa Sikukuu ya Krismasi, alisema sababu zilizomfanya akapige kambi nchini humo ni kuchoshwa na...

Tuesday, December 22, 2015

Lyrics: Kala Jeremiah_Malkia


INTRO: Plexity Records, 0444, Never Done before,The Heavy Touchz Producer Zest. 

(VERSE 1 )
Umbo rangi sura,
Nywele macho midomo shingo kifua tumbo rula,
We ndo mke bora,
Tuwachape bakora,
Guu la bia kiuno nyigu hips bastola,..

PICHA ZA NYUMBA MPYA YA WEMA BAADA YA KUFUKUZWA KIJITO NYAMA

Angalia Picha za Nyumba Mpya ya Wema Sepetu Baada ya Habari Kuzagaa Leo Kuwa Amefukuzwa Kwa Ile Nyumba ya Kijitonyama hapa...

Download: TMK Majita_Say Yeah


Download

HAPA NDIYO UTAMUONA WEMA SEPETU AKIPIKA MWANZO MWISHO

Kwa mara ya kwanza kama unataka kumshuhudia staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu akifanya yake jikoni basi utamuona hapa. “This week ntakua Jikoni na my Dada Marion- Alhamis 24th December at 7pm Dstv Maisha Magic Bongo (Channel 160). An Exclusive Interview and Cooking section”-Wema ameandika kwenye ukurasa wake mtandaoni baada ya kutupia picha hizi...

AUNTY EZEKIEL : MDOGO WA COOKIE ANAKUJA SOON

Aunt Ezekiel na Mosses Iyobo
Staa maarufu wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amefungua kinywa chake na kusema kuwa kwa sasa yuko kwenye mchakato wa kumtafuta mdogo wake na Cookie kwa kuwa hataki kukaa muda mrefu ili kupata mtoto mwingine. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni Aunty,alisema kuwa ameamua kufanya hivyo kwa kuwa anaona...

DIAMOND ATOA SABABU ZA KUTO HUDHURIA ZARI ALL WHITE PARTY

Diamond Platnumz alikuwepo, Kampala, Uganda usiku ambao Zari alikuwa akifanya party yake ya All White lakini hakutokea. Ex wa Zari, Ivan Ssemwanga na wapambe wake walikuwepo. Watu walihisi kuwa Diamond aliogopa kwenda kumpa kampani mama wa mtoto wake Tiffah ili kuepusha shari na kambi ya Rich Gang ya Ivan.

Hata hivyo muimbaji huyo wa Utanipenda amedai kuwa hakukacha party hiyo bali makubaliano aliyokuwa nayo na promota wa show yake ya Ijumaa (siku moja baada ya all white party) yalimtaka asiende kwenye show hiyo ili...

Sunday, December 20, 2015

Download: Stosh, Stamina, Stereo ft Mr. Blue_Kaa Mbali


Download

Download:Chemical ft The Band_Party


Download

NISHER AELEZA SABABU YA KUAMUA KUWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE

Muongozaji wa video, Nisher ameweka wazi sababu inayomfanya aweke wazi picha za mahaba akiwa na mpenzi wake katika mitandao ya kijamii. Nisher amesema kufanya hivyo kunamweka mbali na wasichana wengine wanaomsumbua. 

“Naona ni vyema zaidi kuwa wazi na mkweli, inasaidia kupunguza usumbufu,” amesema hivi karibuni. “Ndoa inakuja, ila hamna...

Download: Wizzy Rapper ft Country Boy_On Fire


Download

Watch & Download: Ben Pol ft Avril x Rossie M_Ningefanyaje [Official Video]


Watch Here

Download: Chege ft RunTown x Uhuru_Sweety Sweety (Audio)


Download

MZEE MAJUTO KUFUNGA MWAKA NA LAKUVUNDA


Lakuvunda
AMRI Athuman ‘King Majuto’ baada ya kutoka Hija anatarajia kuja na filamu kali ya Lakuvunda ambayo itakuwa ni funga mwaka 2015, sinema hiyo ambayo imetengenezwa katika kiwango cha kimataifa, akiongea FC msemaji wa kampuni ya Splash Entertanment Steve Selenge amesema ni kazi nzuri.
 
“Filamu ya Lakuvunda imetengenezwa katika kiwango cha hali ya juu sana maana ni kazi ya kufunga mwaka kuanzia ubora wa hadithi production na waigizaji hasa...

Watch & Download: Ommy Dimpoz_Achia Body


Watch Here

Watch & Download: Chegge ft RunTown x Uhuru_Sweety Sweety


Watch Here

Download: Ommy Dimpoz_Achia Body (Audio)




Download

PICHA ZA SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TAMASHA LA BORN 2 WIN NCHINI UGANDA

DIAMOND13
Usiku wa juzi msanii Diamond Platinum alitumbuiza kwenye tamsasha kubwa ‘Born 2 Win Concert’ jijIni Kampala, Uganda. Mbali na Diamond msanii Patoranking naye alitumbuiza kwenye tamasha hilo. Hizi ni baadhi ya picha za Diamond akitumbuiza kwenye tamasha hilo. Tazama hapa...

BEN POL ATOA SABABU YA KUMWANDIKIA ALIKIBA TWEET ILIYOZUA UTATA

Ben Pol amesema tweet ya utata aliyomuandikia Alikiba, alikusudia kumtumia kwenye ujumbe wa siri wa mtandao wa Twitter (DM) lakini akakosea na kuiweka wazi!
Juzi kupitia mtandao huo, Ben Pol alimuuliza Alikiba swali, “Bro @OfficialAliKiba mi naona kama unakuwa overrated halafu inakugharimu...

TANESCO WAWEKA WAZI KIASI WANACHO MDAI WEMA SEPETU

Tanesco wako shingoni kwa Wema Sepetu! Hivi karibuni walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huyo anatumia umeme wao bure! Jana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Eng. Felichesmi Mramba alizungumza na waandishi wa habari na kutaja kiasi cha fedha kitakachopatikana kutokana na faini waliyowapiga wezi mbalimbali wa umeme. Imebainika kuwa Wema Sepetu anadaiwa shilingi...

MIMBA YA JOKATE ALIYO PEWA NA ALIKIBA YACHOROPOKA

jokate378
Ile mimba ya mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ iliyokuwa ikisemekana ni ya Mbongo-Fleva, Ali Saleh Kiba inadaiwa kuharibika kwa kuchoropoka kisa kikiwa ni mazoezi makali aliyoyafanya hivi karibuni.
 
Chanzo makini kilidai kwamba, Jokate kwa sasa hana ujauzito tena kwani ulichoropoka kufuatia mazoezi makali ya kujiandaa na...

Watch & Download: Witnesz_Buku Jero [Official Video]


Watch Here

Saturday, December 19, 2015

IZZO AWAJIBU MASHABIKI WALIO IPONDA VIDEO YA SHEM LAKE

Msanii Izzo Bizness amewajibu mashabiki wake na kutoa maelezo ya kutosha, kuhusu kwa nini video yake inaonekana haina ubora tofauti na walivyotarajia, ingawa yeye ameridhishwa na video hiyo.
 
Izzo B ameyasema hayo Jana, baada ya kupata tuhuma kuwa mashabiki wameiponda video hiyo. “Kutengeneza story au script ile kazi nilimuachia Khalfan, na video tumefanyia Kigamboni kwa hiyo kuna baadhi ya characters ambao ilibidi...

WITNESZ AZINDUA RASMI VIDEO YA BUKU JERO



Rapa Witnesz anatarajia kumaliza mwaka na zawadi kubwa kwa mashabikiwa wake, video ya rekodi yake ya 'Buku Jero' ambayo ameizindua rasmi jana usiku katika shoo kali ya Friday Night Live.
 
Witnesz amesema kuwa, kazi hiyo imekuwa na visa kibao nyuma yake mpaka kukamilika kwake, ikiwa pia ni uwekezaji mkubwa ambao hata hivyo amegoma kuweka wazi thamani yake akihofia...

Watch & Download: Chris Brown - Little More (Royalty) [Explicit Version]

final4

Watch Here