Akiwa yeye pamoja na wazazi wake wote wawili Lulu ameshare nasi picha hizi kupitia ukurasa wake mtandaoni. See pics here...
“Niko Na Baba Mkweeee ooopssss I mean Baba Angu hadi vidole sikuhizi havina mfupa”- Lulu aliandika kiutani kwenye picha hiyo hapo chini akiwa na baba yake.
0 comments:
Post a Comment