Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole a.k.a shishi bybee ambaye amejipa jina la Karunguyeye siku ya jana alifanya pati nyumbani kwake ‘House Party’ na kuwaalika baadhi ya mastaa wenzake. Kajala, Mwasiti, Linnah,Baba Levo, Baby Madah,Millard Ayo, Tudd Thomas na Makomandoo hao nibaadhi ya watu waliohudhulia pati hiyo.
Tazama baadhi ya picha hapa...
0 comments:
Post a Comment