Raisi John Pombe Magufuli nae amejitokeza barabarani maeneo karibu na Ikulu kuungana na Wananchi kufanya Usafi. Tuamkeni wote kwa pamoja tusafishe maeneo yetu yatutunze. #UhuruWaUsafi #UsafiDay
See More Pics...
Raisi wa Awamu ya 4 Mh Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete nao wakiwa kwenye maeneo yao wanafanya Usafi. #UhuruWaUsafi #UsafiDay
0 comments:
Post a Comment