skip to main |
skip to sidebar
KALA JEREMIAH ATEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI
ktk ukurasa wake wa instagram Kala amepost picha hiyo hapo juu na chini yake kuandika maneno haya:
kalajeremiah uSAFI MUHIMU AGIZO LA MHESHIMIWA RAIS LIMETEKELEZEKA VIPI HAPO KWENU? NAWATAKIA SIKU KUU NJEMA YA UHURU.
0 comments:
Post a Comment