“Hata sielewi mtu huyu kafanyeje hadi namba yangu kuitumia yeye, na mbaya zaidi ni pale ambapo kilaanapobahatisha namba ya rafiki yangu huomba atumiwe pesa nahisi lengo lake kuu ilikuwa ni kujipatia pesa kwa njia ya utapeli na kujiita Snura,”anasema Snura.
Katika kuepuka hilo msanii huyo ameamua kuiachana namba hiyo na anapatikana katika namba mpya ambayo anawasiliana na jamaa zake pamoja na wateja wake wanaomhitaji katika show za muziki hivyo kwa wapenzi wake waliokumbwa na mikasa ya tapeli huyu anawapa pole na wakiombwa fedha na mtu huyo wasimtumie ni muongo.
0 comments:
Post a Comment