Monday, April 13, 2015
SHAMSA FORD: NAY WACHANGANYA MASHABIKI
Baada ya kuitawala wiki kwa gumzo kutoka picha moja matata ya busu la kifaransa (French Kiss) kati ya Ney wa Mitego na Shamsa Ford, Staa huyo wa filamu aibuka na kummwagia sifa Ney...
staa huyo wa filamu ambaye alikanusha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ney, amemmwagia sifa staa huyo wa muziki na kusema kuwa tofauti na wengi wanavyochulia, ni mtu mmoja mpole na mkarimu sana.
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment