skip to main |
skip to sidebar
SHAMSA FORD AWEKA WAZI KUWA NEY NDIYO ENDLESSLOVE WAKE
Staa mrembo wa Bongo Movies Shamsa Ford ambae siku za
hivi karibuni alikanusha waziwazi alipokuwa akihojiwa na vy mbo
mablimbali vya habari juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi wa Staa Nay
wa Mitego hatimaye jana kupitia ukurasa wake mtandaoni alibandikaa picha
yake pamoja na ya Nay ankuandika maneno ya kimahada yaliyosomeka...
“Miss u so much my endlesslove.”
Kitendo ambacho kinathibitisha kuwa wawili hawa wapo kwenye penzi moto moto
Siku za hivi baribuni zilisambaa picha za wawili hawo wakiwa
wanadendeka wadaku wakahisi wa wili hawo wanatoka lakini Shamsa
alijitokeza na kusema kuwa hao wapo kwenye project ambayo itatoka hivi
karibuni na kusisitiza Nay ni binamu yake.
0 comments:
Post a Comment