skip to main |
skip to sidebar
MANYIKA JR.: ANAE SEMA NAIMA ANANIUA KIWANGO BASI AJE ACHEZE YEYE
BAADA ya Simba kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mechi ya ligi
kuu soka Tanzania bara iliyopigwa uwanja wa Sokoine mwishoni mwa juma
lililopita, kipa kijana wa Msimbazi, Manyika Peter Jr alilaumiwa na
mashambiki kwa kudaka chini ya kiwango.
Mashabiki hawakuridhishwa na udakaji wake na kudai ameshuka kiwango tangu
awe katika mahusiano ya kimapenzi na Mrembo...
mmoja anayeitwa Naima.
Baada ya lawama kijana Manyika Jr alikuja juu na kutoa majibu yanayoonekana
pichani chini kwa mashabiki wa Simba wamamshutumu kushuka kiwango kwasababu
ya mapenzi.
0 comments:
Post a Comment