AGGY:Hapa ni home hata iweje so ninapojiskia hamu ya kurudi narudi lkn sauz ndo sehemu ya kufanyia biashara zangu..
.
Q2: unafanya biashara gani ambayo watu hawaioni?.
AGGY:Sio lazima kila unachofanya lazima watu wajue, unachotakiwa kujua ni kwamba nafanya biashara zangu kule....
Q3: Tulisikia umepata mchumba huko south na ndo anayekupa jeuri ya kwenda na kuishi south.
.
AGGY:Ni kweli nina mchumba lakini hata nikienda kule siishi kwake nakaa kwangu na najilipia kodi mwenyewe
.
Q4: ulikuwa na mwanaume wako hapa bongo ambaye alikuwa anakupenda sana anaitwa Evance ilikuwaje ukammwaga??.
.
AGGY:Unajua kila mtu anapoamua kufanya jambo anakuwa ana sababu zake mi naona Mungu tu akuamua tuwe pamoja hadi leo.
.
Q5: Hivi karibuni mtandao mmoja ulikuandika ww ndiye mwanamke mwenye shepu hatari africa mashariki je uliichukuliaje ile habari?
.
AGGY:Ahahahaaa nilijiskia vizuri na pia nilicheka sana nikajiuliza walinijuaje?
.
Q6: unasema sshv makazi yako ni south je ukipata mchumba bongo utakubali kurudi na kufunga nae ndoa?
.
AGGY: Hakuna mtu anayenizuia huko south km ntaridhika nae kwanini nisirudi?
.
Q7: wewe una mtoto lkn hujawahi kumpost hata siku moja km unavyopost zako na km mastar wenzio wanavyopoa watoto zao kwanini?
.
AGGY: Unajua unapozaa mtoto anakuwa sio mali yako pekeyako kuna babake pia ..siwezi kufanya hivyo kwa kuwa babake hapendi..
.
Q8: Hili suala la wewe kukamatwa na unga limewashitua wengi unawashauri nini wasichana wanaoifanya au wanaotaka kufanya hii deal?.
.
AGGY: Ni suala la kujitambua na kufikiri kabla ya kufanya ile sio kazi ya kufanya kwakuwa ukikamatwa majuto ni lazima
.
Q9: Tunajua ww hauna ttzo la kutozaa sbb tayari una mtoto je una mpango wa kupata mwingine?
.
AGGY: Kwa sasa sina mpango huo labda baadae sanaaa..
.
Q10: kwa sasa huonekani ktk video za muziki km zaman (video queen)vp au umeacha hii kazi
.
AGGY: Sijaacha na siwezi kuacha sema tu sijapata hilo deal kikubwa ni maslahi tu
0 comments:
Post a Comment