Pages

Subscribe:

Monday, April 13, 2015

WATU 18 NDIYO WALIOFARIKI NA 11 KUJERUHIWA KTK BASI LA NGANGA


Watu 18 wamekufa na wengine 11 kujeruhiwa katika ajali ya basi la Nganga safari ajali hiyo iliyotokea jana katika kijiji cha msimba tarafa ya mikumi katika barabara ya Morogoro Iringa mkoani Morogoro nchini Tanzania.

0 comments:

Post a Comment