Sunday, November 29, 2015
DIAMOND: SITAKI KUSHIKA SIMU YA ZARI NAOGOPA KUUMIA
“Hicho ni kitu cha kwanza ambacho siwezi kudiriki kabisa,” alijibu Diamond alipoulizwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, November 26, 2015
DIAMOND ATAJWA KTK ORODHA YA WATU 100 WENYE USHAWISHI MWAKA 2015
Muimbaji wa ‘Nana’ Nassib Abdul Juma au Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi Africa mwaka 2015 ‘100 Most Influential Africans in 2015′ ya Jarida la New Africans. Orodha hiyo ambayo huwa inatoka kila mwaka, huwa inaangalia watu waliofanya vitu vikubwa zaidi (Game changers) kwenye maeneo nane tofauti ikiwemo, Siasa , Ofisi za umaa , Sanaa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
CHEGE KUTAMBULISHA NYIMBO YAKE MPYA ALIYO FANYA NA RUNTOWN TAREHE...
“Chege yupo south kwa ajili ya ile kazi na runtown” meneja wa TMK, Said Fella ameiambia Bongo5.
“Hapa nyumbani itatambulishwa tarehe...
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, November 25, 2015
Lyrics: Tekno_Wash
[Intro]
hey hey hey hmmm
Alhaji Tekno
Hey hey
Ha ha
Oh nana oh hey
[Verse]
Love is what I see
When I look at you
You’re my fantasy
You’re my baby boo
Dancie kerewa Genevieve
My love is true...
Labels:
LYRICS
AY AWAKUMBUKA NGWAIR NA LANGA KWENYE WIMBO HUU
Kupitia kwenye wimbo wa Dj wa kenya Creme De La Creme ''Sijakusahau'' Hit maker huyo wa Zigo Amewakumbuka rappers hao walio tangulia mbele za haki, "Naona sura ya Ngwair na Langa'' (Tazama anga) nakumbuka tuliyo yapanga lakini mungu akapanga pia, Tuliongozana wengine waka...
Labels:
HABARI & UDAKU
SHILOLE AFUNGUKA SABABU YA KUUZA NYUMBA YAKE
Labels:
HABARI & UDAKU
HAWA NDIYO WATANZANIA WALIO TAJWA KUWANIA TUZO ZA THE FUTURE AWARDS AFRICA 2015
Vanessa Mdee anawania kipengele cha ‘The Future Awards Africa Prize in Entertainment‘, Witness Sanga anawania kipengele cha ‘The Future Awards Africa Prize in Agriculture‘ na...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND ASHIKA NAMBA 1 KWENYE LIST YA WASANII BORA WA AFRICA MWAKA 2015
Labels:
HABARI & UDAKU
CHRISTIAN BELLA AFUNGUKA BAADA YA WIMBO WAKE NA ALIKIBA KUTO FANYA VIZURI
Akizungumza na Bongo5 Jana, Bella alieleza sababu ya kwanini wimbo huo umeshindwa kufanya vizuri kama ilivyotarajiwa ukilinganisha na ukubwa wa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, November 23, 2015
PICHA ZA ENOCK BELLA WA YAMOTO BAND NA LADY QUEEN ZANASWA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetokea kundi la Yamoto Band maarufu kwa jina la Enock Bella mwenye sauti nzito amezua gumzo mtandaoni mara baada ya kuvuja kwa picha za kimahaba zikimuonesha Enock Bella & Lady Queen wakiwa katika...
Labels:
HABARI & UDAKU
PICS OF AMERICAN MUSIC AWARDS 2015 RED CARPET
The 2015 American Music Awards in Los Angeles. The red carpet was a hot one, literally and figuratively. Get the smashkilimanjaro stars' fabulous looks inside...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAVY KENZO KUFANYA COLLABLE NA R2bees TOKA GHANA
Kundi linaloundwa na producer Nahreel na mpenzi wake Aika ‘Navy kenzo’ wametoa taarifa ya ujio wa collabo yao na wasanii wa kundi la R2bees la Ghana.
“Something z comin @navykenzoofficial ft @r2beesmusic #goodmusiconly” aliandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
UWOYA ATOA FURSA KUFANYA MUVI NA MACHIPUKIZI
Habari zenu wapendwa!kuna movie mpya naaandaa…tunahitaji wasanii wapya wakike na wakiume…ambao hawajawah kuigiza! kunamaswali tutauliza ukipita utaitwa kwajili ya form na mahojiano zaidi…..swali la kwanza!ntajie...
Labels:
HABARI & UDAKU
DJ FETTY ATOA TAMKO KUHUSU KURUDI CLOUDS FM
Ijumaa ya November 20 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wasikilizaji wengi
wa Clouds Fm hasa wa kipindi cha burudani XXL, baada ya kupata surprise
ya kumsikia tena mtangazaji maarufu na anayependwa Fatma Hassan maarufu
kama DJ Fetty kwenye kipindi hicho, ikiwa ni miezi miwili imepita toka
alipotangaza kuacha kazi ya utangazaji September 15 mwaka huu.
Wengi wao walicomment kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kuelezea furaha yao, na kwasababu hakusema kama amerudi rasmi...
Wengi wao walicomment kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kuelezea furaha yao, na kwasababu hakusema kama amerudi rasmi...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAJALA ACHUKUA NAFASI YA ZARI KWA DIAMOND
Kwa mujibu wa chanzo makini, uhusiano wa Diamond na Kajala unadaiwa kuibuka ghafla miezi kadhaa iliyopita lakini wamekuwa wakifanya siri nzito kabla ya hivi karibuni kukolea zaidi baada ya mpenzi wa Diamond, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kurudi nchini mwake, Afrika Kusini ‘Sauz’.
“Walianza zile za kimjinimjini, wakawa wanafanya yao kimyakimya tangu Zari akiwepo lakini mahaba niue yamekuja kushamiri zaidi baada ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, November 20, 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)