Kundi linaloundwa na wasanii wawili, Nahreel na Aika ‘Navy kenzo’ limechaguliwa kuwania Tuzo za ‘Top Niaja Music Awards 2015′ za Nigera zitakazofanyika January 2 mwakani. Navy kenzo wanawania kipengele cha Kikundi bora cha mwaka wakishindana na...
Dupi 2, Connect Music Group (Cmg), Ace Republic, Dp-Kings na Betrose.
Navykenzo wamewajulisha mashabiki wao kupitia Instagram, wameandika
“Kundi bora la muziki toka #+225 Navy Kenzo la chaguliwa kuwania kipengele cha #KundiBoraLaMziki katika tuzo za #TopNaijaMusicAwards za nchini nigeria..uwanja wa kupiga kura umeshafunguliwa kura yako ni muhimu sana kwetu tunaomba ushirikiano wako.LINK YA KUPIGIA KURA IPO KWA BIO YETU..
#AboveInAMinute #GameGame #ThankYouGuys #VoteVoteVoteForUs”
Zoezi la kupiga kura limeanza rasmi November 8 mpaka tarehe 31 december, unaweza ingia Hapa kuwapigia kura.
0 comments:
Post a Comment