Pages

Subscribe:

Wednesday, November 25, 2015

HAWA NDIYO WATANZANIA WALIO TAJWA KUWANIA TUZO ZA THE FUTURE AWARDS AFRICA 2015

Waandaji wa Tuzo za ‘The Future awards African 2015′ wametangaza majina ya watu wanaowania Tuzo hizo na Watanzania watatu wametajwa kwenye vipengele tofauti.

Vanessa Mdee anawania kipengele cha ‘The Future Awards Africa Prize in Entertainment‘, Witness Sanga anawania kipengele cha ‘The Future Awards Africa Prize in Agriculture‘ na...
Felix Richard Manyogoteanwania kipengele cha ‘The Future Awards Africa Prize in Community Action‘.
TFAA ADS SET 1_PATRICKTFAA ADS SET 1_NASIBU

Wiki iliyopita waliwatangaza Diamond Platnumz na Patrick ngowi (wamewahi kushinda tuzo hizo) kuwa mabalozi wa maadhimisho ya 10 ya  Tuzo hizo ( Ipo Hapa ) wameungana na mabalozi wengine kumi ikiwa ni pamoja na watu ambao wamewahi kushinda Tuzo hizo kwenye upande wa biashara, maendeleo, utawala bora, burudani na ubunifu kwenye viwanda.
TFAA ADS SET 1_GROUP
Hii ndio orodha kamili ya watu wanao wania tuzo hizo

The Future Awards Africa Prize in Advocacy & Activis
1. Anoziva Marindire  (Zimbabwe)
2. Olumayowa Okediran (Nigeria)
3. Segawa Patrick (Uganda)
4. Sakar Uchechukwu (Nigeria)
5. Queen Baboloki (Botswana)

The Future Awards Africa Prize in Education
1. Josephine Marie Goodwill (Ghana)
2. Abena Agyemang (Ghana)
3. Cynthia Onwuchuruba (Nigeria)
4. Lily Kudzro  (Ghana)
5. Maccathy Lomotey (Ghana)

The Future Awards Africa Prize in Enterprise Support
1. Clarisse Iribagize. (Rwanda)
2. Enow Awah Georges Stevens (Ghana)
3. Olufunbi Falayi (Nigeria)
4. Catherine Mahugu (Kenya)
5. Venuste Kubwimana (Kenya)

The Future Awards Africa Prize in Community Action
1. Edmund Duodu Antwerp (Ghana)
2. Kelvin Mutize (Zimbabwe)
3. Elijah Amoo Addy (Ghana)
4. Felix Richard Manyogote (Tanzania)
5. Daniel Nii Adom Oodnkor (Ghana)

The Future Awards Africa Prize in Technology
1. Rasheeda Mandeeya Yehuza (Ghana)
2. Joshua Ihejiamaizu (Nigeria)
3. Abiola Olaniyan (Nigeria)
4. Duran De Villiers (South Africa)
5. Arthur Zang (Cameroon)

The Future Awards Africa Prize in Entertainment
1. Yemi Alade (Nigeria) 2.
Vanessa Mdee (Tanzania)
3. Refiloe Maele “Cassper Nyovest” Phoolo (South Africa)
4. Olamide “Badoo” Ayodeji (Nigeria)
5. Anne Kansiime (Uganda)

The Future Awards Africa Prize in Agriculture
1. Witness Sanga (Tanzania)
2. David Asiamah (Ghana)
3. Fanka A. Yenah (Cameroon)
4. Momarr Mass Taal (Gambia)
5. Lawrence Afere (Nigeria)

The Tony O. Elumelu Prize in Business 
1. Samuel Malinga (Uganda) 
2. Kasope Ladipo-Ajai (Nigeria)
3. Evans Wadongo (Kenya) 
4. Titus Mawano (Uganda) 
5. Ali-shah Jivraj (Uganda)

The Future Awards Africa Prize in Public Service
1. Nkechi Okwuone (Nigeria)
2. Obiefule Iroabueke (Nigeria)
3. Emmanuel N. B. Flomo (Liberia)
4. Lefatshe Anna Moagi (South Africa)
5. Sakaja Johnson (Kenya)

The Future Awards Africa Prize for Young Person of the Year
1. Adesoji Solanke (Nigeria)
2. Teresa Mbagaya (Kenya)
3. Barclay Okari (Kenya)
4. Philip Obaji Jnr. (Nigeria)
5. Trevor Noah (South Africa)…


0 comments:

Post a Comment