Pages

Subscribe:

Wednesday, November 25, 2015

AY AWAKUMBUKA NGWAIR NA LANGA KWENYE WIMBO HUU

12256721_1652128261718442_1361362012_n
Kupitia kwenye wimbo wa Dj wa kenya Creme De La Creme ''Sijakusahau'' Hit maker huyo wa Zigo Amewakumbuka rappers  hao walio tangulia mbele za haki, "Naona sura ya Ngwair na Langa'' (Tazama anga) nakumbuka tuliyo yapanga lakini mungu akapanga pia, Tuliongozana wengine waka...
Disappear daima uzuri umenitanda na moyoni nawalilia, AY anarap. Kama unakumbuka Ngwair alifariki May 28 na Langa June 13 mwaka 2013.

Pia AY amewakumbuka wazazi wake kwenye wimbo huo ambao wasanii wengine walio shirikishwa ni Prezzo, Bigpin na Ulopa. Prezzo amemkumbuka baba yake pamoja na aliye kuwa mpenzi wake Goldie wa Nigeria

0 comments:

Post a Comment