“Unajua niliamua kumshirikisha Mwana FA sababu jamaa anafahamu kuwaelezea wanawake na mabinti vizuri sana katika nyimbo mbalimbali, yaani huwa anawanyambua vizuri sana na kama unavyofahamu katika wimbo huu sisi tumejivika kama ushemeji njaa tunamtamani shemeji yetu na nini, hivyo ilibidi...
nifanyenae tu hata ukiangalia katika nyimbo zake nyingi akiwa anawazungumzia wanawake au mabinti huwa anatulia na kuwachambua vizuri,” Izzo bizness aliiambia Planet Bongo ya East Africa radio.
Izzo ameongeza kuwa mwanzo mpango wake ulikua G nako atunge kiitikio lakini aimbe mwingine, hata hivyo mwana Fa alimshauri G nako aimbe mwenyewe kwasababu kama angeimba mwingine bado angeimba kama G nako.
0 comments:
Post a Comment