Thursday, September 29, 2016
LULU AMPA MBWA WAKE JINA LA MTOTO WA DIAMOND
Labels:
HABARI & UDAKU
RIHANNA AZINDUA NGUO ZAKE ZA FENTY FOR PUMA 2016
Pia amesema:
“It’s a dream for me to be able to present my second collection of Fenty x Puma by Rihanna in Paris,” Riri alifunguka “I approached this season very differently and felt the theme and concept was best suited for one of my favorite cities, Paris.”
Tazama picha za nguo hizo hapa...
Labels:
HABARI & UDAKU
YOUNG KILLER: NGOMA YANGU MPYA INAYO KUJA NI BEST KULIKO
Mkali wa kuchana, rapa Young Killer Msodoki amesema ameamua kuwafurahisha mashabiki wa muziki wake kwa kufanya baadhi ya mabadiliko katika nyimbo zake. Akiongea wiki hii, rapa huyo amesema wimbo wake mpya ambao atauchia hivi karibuni utakuwa ni moja kati ya nyimbo zake bora.
“Labda niwaambie kitu kimoja hii ni exclusive, ngoma yangu ambayo nitakuja kuitoa baada ya hii ‘Mtafutaji’ ndo ngoma yangu best kabisa,” alisema Young Killer. Aliongeza,”Sio best kuliko zote zilizopita, lakini hii inayokuja ni best kwa sababu ni ngoma kali kiukwei yaani...
Labels:
HABARI & UDAKU
MSANII WA BONGO FLAVA APANDISHWA KIZIMBANI BAADA YA KUACHIA WIMBO WA UDIKTETA UCHWARA
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Fulgency Mapunda maarufu Mwana Cotide amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kwa tuhuma za kuimba na kusambaza wimbo wenye maudhui ya kichochezi.
Mwana Cotide ameiamba wimbo wenye jina “Dikteta Uchwara” ambao aliusambaza kupitia mtandao wa YouTube kitu ambacho kinavunja sheria ya makosa ya mitandao.
Akisoma mashtaka hayo, mwanasheria Derrick Mukabatunzi alisema kuwa Mwana Cotide na...
Labels:
HABARI & UDAKU
BARNABA: EATV AWARDS SIYO JAMBO LA KUDHARAU
Msanii
Baranaba Elias amewataka wasanii wenzake kutodharau zoezi la uchukuaji
fomu na kushiriki EATV AWARDS, na kusema ni kitu cha msingi kwao. Akizungumza
na East Africa Television, Barnaba amesema baadhi ya wasanii wamekuwa
wakizichukulia poa tuzo hizo kuwataka kuacha kuzipuuza na badala yake
wachangamkie zoezi la uchukuaji wa fomu za kushiriki katika tuzo hizo.
"Mi nishachukua najaza sasa hivi nadhani wiki ijayo nitarudisha, wasanii wenzangu wasidharau, wakachukue fomu za kushiriki tuzo, hii ni fursa kwetu", alisema Barnaba. Barnaba aliendelea kusema kuwa...
"Mi nishachukua najaza sasa hivi nadhani wiki ijayo nitarudisha, wasanii wenzangu wasidharau, wakachukue fomu za kushiriki tuzo, hii ni fursa kwetu", alisema Barnaba. Barnaba aliendelea kusema kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
NUH MZIWANDA: SIFANYI KAZI NA MENEJA ANAYE TAFUTA UMAARUFU
Msanii
Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kuzinguana na
uongozi wake akiwemo Petit Man ambaye anamsimamia, amesema ameamua
kuachana kabisa na uongozi huo kwa mapenzi yake mwenyewe. Akizungumza, Nuh Mziwanda amesema ameamua
kufanya hivyo kwani hana muda wa...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAY WA MITEGO: WASANII WENGI BONGO NI MABOYA
Rapa
Nay wa Mitego ambaye kwa sasa anafanya vyema na ngoma yake 'Saka hela'
amefunguka na kusema kuwa amegundua kwenye muziki wa bongo fleva saizi
kuna wasanii wengi maboya akimaanisha washamba. Nay
wa Mitego alisema hayo na kudai mwanzo walikuwepo wasanii wawili maboya
lakini saizi amegundua wapo wengi sana kwenye muziki wa Bongo Fleva.
"Mwanzo walikuwepo kama wawili hivi lakini saizi nimekuja kugundua wapo wengi sana ni maboya, inawezekana wapo wanaoniona mimi boya lakini uboya wangu mimi una faida, wapo...
"Mwanzo walikuwepo kama wawili hivi lakini saizi nimekuja kugundua wapo wengi sana ni maboya, inawezekana wapo wanaoniona mimi boya lakini uboya wangu mimi una faida, wapo...
Labels:
HABARI & UDAKU
ALBUM YA STAMINA MT ULUGULU IMEINGIZA MILION 45
Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Morogoro, Stamina amesema tayari ameshafunga mahesebu ya mauzo ya albamu yake ya ‘Mt Uluguru’ ambayo aliisambaza nchini nzima.Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa mpaka anafunga duka la kuuza albamu hiyo tayari alishauza nakala 9,000 kwa bei ya tsh 5000 na chache kwa tsh 10,000.
“Niliuza nakala 9,000,” alisema Stamina. “Kilicho nisaidia ni uzinduzi wangu wa Morogoro, pia niwashukuru mawakala wangu kutoka katika vyuo mbalimbali nchini, kwa sababu wao walikuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
DULLY SYKES ATAJA WASANII ALIOWASAIDIA NA WALIO LIPA FADHILA
Msanii mkongwe katika muziki wa Bongo Flava, Dully Skyes amesema katika wasanii wote ambao aliwahi kuwasaidia kimuziki mpaka wakafanikiwa, ni watatu tu ndio ambao wamekuwa wakilipa fadhila kwake na ambao wamekuwa wakimpigania.
Dully Skyes alisema hayo kwenye kipindi cha Planet Bongo na kudai amewasaidia wasanii wengi lakini wengi wao wanaishia kumuita tu ‘brother’ lakini si Diamond Platnumz...
Labels:
HABARI & UDAKU
SHERIA YAPITISHWA WANAO ONESHA MAKALIO MIEZI SITA JELA
Kuonyesha makalio hadharani sasa ni uhalifu katika jimbo la Victoria nchini Australia.
Australia imeptisha sheria ya kupinga kitendo icho kinachojulikana
kama ”mooning” kwa lugha ya kiingereza,ambapo adhabu yake ni hukumu ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
VANESSA MDEE AFAFANUA TETESI INAYO MKABIRI KUCHEPUKA NA TREY SONGZ
Kumekuwa na picha na video za utata za staa huyo wa Marekani na Vee Money zikisambaa kwenye mitandao na watu wamekuwa wakidai kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
BAADA YA KUKAUSHIA BIRTHDAY YA ZARI SASA MAMA DIAMOND AMPONGEZA WEMA KTK SIKU YA KUZALIWA
Labels:
HABARI & UDAKU
HUDDAH MONROE ANASA KWENYE PENZI LA MCHAGA
Tazama Picha ya mwanaume huyo hapa...
Labels:
HABARI & UDAKU
AGNESS MASOGANGE AANIKA MAJIBU BAADA YA KUPIMA HIV
Baada ya Mrembo Tunda kuanika Majibu yake ya Ngoma tukayaona...Agnes Masogange nayeye awafunga midomo walikuwa wakimsema ana Ugonjwa...Aanika wazi majibu yake. Imethibishwa kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, September 24, 2016
DAYNA NYANGE AJA NA MWONEKANO WA TOFAUTI TAZAMA PICHA ZAKE HAPA
Labels:
HABARI & UDAKU
SAIDA KAROLI KUNUFAISHWA NA DIAMOND
“Kitu tulichokifanya kabla ya kurealise wimbo, tulizungumza na uwongozi wake tukawaambia tunafanya ichi,ichi na ichi, kuna kiasi pia tukakitoaili kiende kwake afu tukampa 25 percent ya publishing kila...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAULI YA ZARI BAADA YA KUZAWADIWA MJENGO NA DIAMOND
Tyga alimpa Kylie Jenner gari la kifahari, lakini Diamond kampa Zari mjengo! Ndio maana raia huyo wa Uganda anasema, wenye wivu? Soma alicho kipost hapa...
Labels:
HABARI & UDAKU
COUNTRY BOY: KUNA UWEZEKANO WA KUMRUDISHA YOUNG DEE MTU CHEE
Rapper Country Boy amedai kuwa kuna uwezekano wa kundi la Mtu Chee kurejea tena likiwa na Young Dee. Mara ya mwisho Young Dee alidai kuwa hawezi kurudi kwenye kundi hilo. Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Supa Mega cha Kings FM ya Njombe, Prince Ramalove, Country Boy amesema anawasiliana karibu kila siku na Dee.
“Mtu Chee ipo na inarudi upya muda wowote, Young Dee ni mwanetu hatuna matatizo naye, Stamina hana matatizo, mimi sina tatizo, tunajaribu kupiga story kuangalia...
Labels:
HABARI & UDAKU
STAA WA NIGERIA AKI AFUNGUKIA WIMBO MPYA WA DIAMOND "SALOME"
Salome ya Diamond Platnumz inaelekea kumshangaza staa huyo kwa mafanikio makubwa inayoendelea kuyakusanya. Baada ya video yake kuvutia views milioni 1 ndani ya siku mbili tu tangu itoke, wimbo huyo umeyagusa masikio ya mtu maarufu kwenye filamu za Nigeria, Chinedu Ikedieze anayejulikana zaidi kama Aki kwenye filamu zake.
Akicomment kwenye post ya Diamond Instagram, Ikedieze amesema kuwa haelewi kinachoimbwa kwenye wimbo huo lakini...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAMA ULIKUWA HUJUI HAWA NDIYO WATOTO WA SHILOLE
Labels:
HABARI & UDAKU
VANESSA MDEE AZUNGUMZIA COLLABLE YAKE NA TREY SONGZ
Akizungumza na millardayo.com & Ayo TV Vanessa Mdee aliyaongea haya:
Niko Kenya nikifanya msimu wa Coke Studio Africa ambapo msimu huu tumemkaribisha msanii wa kimarekani Trey Songz kuja kufanya collaboration na...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND PLATNUMZ AWEKA REKODI NYINGINE YOUTUBE
Diamond Platinumz anafuatana kwa views nyingi na wasanii mapacha kutoka kundi la PSquare na video yao ya Bank Alert iliyotazamwa zaidi ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
JOKATE: BADO NAFANYA MUZIKI ILA NAHITAJI MANAGEMENT
“Muziki bado nafanya ila bado nahitaji menejimenti ambayo ipo vizuri,” alisema. “Sitaki kufanya muziki niwe kama najaribu, nahitaji kuwa na timu ambayo tutafanya kazi ya serious kama ilivyo kwenye brand ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAY WA MITEGO: SHAMSA ALINIAMBIA ANAENDA KUOLEWA
“Ndoa ni kitu cha heri lakini sometime watu wanaweza wakaoana kwa kutafuta experience za ndoa zinakuwaje, watu wakioana inakuwaje, ukishapata experience kila mtu anaendelea kupuyanga,” alisema Nay.
“Sasa mimi sijajua kama wao wanatafuta experience za ndoa ili kujua watu wakioana wanakuwaje” Aliongez, “Kwa jinsi ninavyomjua Shamsa ni mwanamke kweli, kwa sababu ni mwanamke ambaye anastahili kuwa mke kwa sababu amekaa...
Labels:
HABARI & UDAKU
SHILILOE CHUPU CHUPU WAE VIDEO QUEEN WA SALOME YA DIAMOND
Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto. Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, September 23, 2016
WIMBO WA DIAMOND WAMKUNA WEMA SEPETU AJIREKODI AKIIMBA MANENO HAYA
“Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini? Tisha sana ‘Salome’ wake Idris Sultan full Video link in my BIO and @rayvanny Bio,” aliandika Diamond kupitia instagram. Hatua hiyo huwenda...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND ATUPIA KIJEMBE KWA EX WA ZARI BAADA YA KUNUNUA MJENGO S.A
Diamondplatnumz:
They are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids staying in the Renting House and now a person wich they are daily abusing and saying that he's broke & Poor Bought a House, so that their Kids can have a better life, as they always wish on...
Labels:
HABARI & UDAKU
AIKA NA NAHREEL WATAJWA KUWANIA MTV MAMA
Kundi la Navy Kenzo ambalo linaundwa na Aika na Nahreel limefanikiwa kuingia katika Mchakato (Nomination) wa kutafuta washindi wa MTV Mama Awards 2016 Kwenye kipengele cha Group Bora la Muziki Afrika,
Nimeanza na kuandika Hard Work Pays Kwasababu ni dhahiri kuwa hawa jamaa wamefanya kazi hasa katika miaka ya karibuni katika kazi zao za muziki huu wa Bongo Flava Hapa Tanzania, Ukiangalia...
Labels:
HABARI & UDAKU
MENEJA AZUNGUMZIA BIFU LA HARMONIZE NA RAYMOND
Meneja anayewasimamia wasanii wa WCB wakiwemo Harmonize na Raymond, Ricardo Momo, amekanusha tetesi kuwa mafahari hao wamekuwa wakivimbiana na kwamba kila mmoja anajiona bora.
Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Supa Mega cha Kings FM ya Njombe, Prince Ramalove, Ricardo amedai kuwa wawili hao wanaishi kwa upendo mkubwa. “Hayo ni maneno tu, sisi tunaishi kama ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, September 18, 2016
NAH REEL: THE INDUSTR INA PROJECT NYINGI NA BILLNAS
Msanii na mtayarishaji wa muziki wa The industry, Nahreel ameweka wazi kuwa label ya The industry ina project nyingi na rapper Billnas anayefanya vizuri na wimbo ‘Chafu Pozi’. Rapper Billnas hivi karibuni aliwapa taarifa mashabiki wake ujio wa project nyingi kutoka The industry.
Akiongea Jumamosi hii, Nahreel amesema kwa sasa wana kazi nyingi na rapper huyo.
“Yeah Billnas na The Industry kuna kazi nyingi zinakuja, nisingependa kuziweka wazi kwa sasa kwa sababu ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
SAY MY NAME YA SHISHI YASHIKA CHAT SOUNDCITY
Shilole ameitimiza ndoto waliyonayo wasanii wengi wa Bongo Flava. Wimbo wake ‘Say My Name’ aliomshirikisha Barnaba, umekamata nafasi ya kwanza kwenye chati za muziki wa Afrika Mashariki kwenye kituo cha Soundcity.
“Mungu akiwa upande wangu hakuna cha kunikatisha tamaa,” ameandika kwenye Instagram kufurahia hatua hiyo. “Asante sana @soundcityafrica asanteni mashabiki kwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAYMOND AWEKA HADHARANI MJENGO ANAO ISHI
Ndoto ya wasanii wengi ni kupata maisha bora, nyumba mzuri pamoja na magari ya kifahari. Mkali wa wimbo ‘Natafuta Kiki’ Raymond ‘Rayvanny’ ameonyesha mafanikio aliyopata ndani ya muda mfupi. Muimbaji huyo ambaye anajiandaa kwenda kwenye show nchini Burundi akiwa na wasanii wenzake wa WCB, ameonyesha nyumba anayoishi na...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND KUACHIA WIMBO MPYA MUDA WOWOTE
Huwenda Diamond Platnumz anataka kutimiza ahadi yake ya kuachia wimbo mpya baada ya wimbo wake ‘Kidogo’ aliowashirikisha wasanii wa kundi la P Square kufikisha views 4,764,307 katika mtandao wa YouTube.
Uongozi wa Diamond Platnumz uliahidi kuwa endapo video ya wimbo ‘Kidogo’ ikifikisha views milioni 5 katika mtandao wa Youtube basi watatoa zawadi kwa mashabiki wao kwa kwa kuachia wimbo mpya. Jumapili hii Diamond kupitia twitter ameandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
BARAKA DA PRINCE AKANUSHA ISHU YA MR BLUE KUMPIGIA SIMU NAJ
Msanii Baraka The Prince amezungumzia sakata la mpenzi wake Najma na
Mr. Blue ambaye alikuwa mpenzi wake, na kusema tukio hilo halikuwa na
ukweli wowote na hata kama lingekuwepo, hawezi kuzuia wawili hao
kuwasiliana.
Akizungumza kwenye kipindi cha Bongo Fleva Top 20 cha East Africa Radio, Baraka amesema yeye hawezi kuzuia wawili hao kuwasiliana kwani wote ni...
Akizungumza kwenye kipindi cha Bongo Fleva Top 20 cha East Africa Radio, Baraka amesema yeye hawezi kuzuia wawili hao kuwasiliana kwani wote ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, September 15, 2016
RUBY: NATAKA NISIMAME NA MASHABIKI ZANGU
Ruby alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa yeye aliamua kubadili uongozi kwa sababu anataka kusimama yeye kama yeye kwenye muziki kwa kutegemea mashabiki wake, pia Ruby anadai Tanzania ukimchana mtu ukweli unaonekana wewe ni mkorofi au mgomvi.
"Unajua hata mtoto anapokuwa kwa wazazi inafika wakati anahitaji
kuanza maisha yake mwenyewe, hivyo mtoto akiondoka kwa wazazi haina
maana kuwa hauna wazazi 'No' wala haina maana kuwa umeondoka nyumbani
kuna...
Labels:
HABARI & UDAKU
WASANII NA VIONGOZI WA WCB WAALIKWA NYUMBANI KWA RAIS MSTAAFU JK
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete Jumatano hii aliwaalika
wasanii wa label ya WCB pamoja na viongozi nyumbani kwake na kula nao
chakula cha mchana.
JK ambaye ni mmoja kati ya marais ambaye ame-support sana wasanii wa muziki nchini, aliwaalika wasanii hao nyumbani kwake na kuzungumza nao mambo mbalimbali kuhusu muziki wao. Mmoja kati ya viongozi wa juu wa label hiyo, Sallam alimshukuru rais huyo kwa...
JK ambaye ni mmoja kati ya marais ambaye ame-support sana wasanii wa muziki nchini, aliwaalika wasanii hao nyumbani kwake na kuzungumza nao mambo mbalimbali kuhusu muziki wao. Mmoja kati ya viongozi wa juu wa label hiyo, Sallam alimshukuru rais huyo kwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
HATIMAYE FAIZA ALLY AWEKA WAZI HISIA ZAKE KWA MH SUGU
Faiza Ally Amefunguka haya Katika ukurasa wake wa Instagram:
Leo nimeamka akili yangu inawaza mapenzi tu... Mkatae mkubali mapenzi yana nafasi kubwa sana ktk maisha. Na mapenzi hayana baunsa...😅 Mimi nampenda sana baba mtoto wangu - Nina mpenzi yes lkn nampenda yeye zaidi - ana mpenzi Sawa lkn hainizui kuongea hisia zangu. Nachekwa Sawa lkn wanao nicheka hawako ktk maisha yangu Kwa hiyo sio...
Leo nimeamka akili yangu inawaza mapenzi tu... Mkatae mkubali mapenzi yana nafasi kubwa sana ktk maisha. Na mapenzi hayana baunsa...😅 Mimi nampenda sana baba mtoto wangu - Nina mpenzi yes lkn nampenda yeye zaidi - ana mpenzi Sawa lkn hainizui kuongea hisia zangu. Nachekwa Sawa lkn wanao nicheka hawako ktk maisha yangu Kwa hiyo sio...
Labels:
HABARI & UDAKU
DADA WA DIAMOND PLATNUMZ AKIRI KUPENDA PETIT MAN
_esmaplatnumz
Baby dady mkimuona mwambieni mi Nampenda tuu ukiniuliza hata sijui... kuna wakati unaweza kufichaficha au kujionesha hupendi au ukajikaza usiseme unachojisikia kusema but mi naona bora...
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, September 14, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)