Msanii
wa kundi la WCB Harmonize amesema kwa sasa hayuko tayari kufanya colabo
na kuwapa watu muda wa kuwatengenezea ushindani kati yao.
Akipiga
story ndani ya eNews amesema “Colabo ni kubadilishana mashabiki kwa
wakati nafanya colabo na Diamond nilikuwa nikilenga kuwa kuna mahali
muziki wa Diamond umefika wa kwangu haujafika na pia Diamond ana’hit’
nyingi kwa hiyo ilikuwa ni...
mpango wa kufikisha muziki wangu mbali”
“Ningekuwa
naogopa colabo basi ningeogopa kufanya colabo na Diamond kwa kuwa ni
muimbaji mzuri kuliko Diamond lakini niliamua kukaza tu ili kufika
mbali, lakini pia inabidi tupate muda tutengeneze wimbo mzuri ili kitoke
kitu kizuri”.aliendelea kusema Harmonize.
Pia
hakusita kuelezea maswala ya mahusiano yao na Wolper akisema “siku
zinavyozidi kwenda binadamu anapata mawazo mapya pamoja na kukua lakini
pia nafikiri ilikuwa ni upya ndo maana kila siku tulikuwa tukifanya
mambo mbalimbali kwa kuwa wote tulikuwa tukitamaniana”.
Tuesday, September 6, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment