Kuonyesha makalio hadharani sasa ni uhalifu katika jimbo la Victoria nchini Australia.
Australia imeptisha sheria ya kupinga kitendo icho kinachojulikana
kama ”mooning” kwa lugha ya kiingereza,ambapo adhabu yake ni hukumu ya...hadi miezi sita jela .
Marekebisho ya sheria hiyo yanalenga kutengenisha utani unaohusisha uchi na ule wa kujionyesha kingono. Sheria hiyo mpya pia inapiga marufuku uimbaji wa nyimbo chafu pamoja na tabia nyengine zinaozoonekana kuwa za uasherati, uchafu, kukera au kutusi.
0 comments:
Post a Comment