skip to main |
skip to sidebar
SURPRISE YA ALIKIBA JUKWAANI YAWAUMIZA UWONGOZI WA DIAMOND
Unakumbuka Fiesta mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila
kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surprise
Hali hiyo ilijitokeza tena jana mjini mombasa ,mwanzo chama cha ODM
kilitangaza Diamond atatumbuiza lakini baada ya show yake Alikiba nae
alipanda...
kutumbuiza
Uongozi wa diamond umeamua kurusha dogo upande wa pili kama ifuatavyo.
0 comments:
Post a Comment