Shilole ameitimiza ndoto waliyonayo wasanii wengi wa Bongo Flava. Wimbo wake ‘Say My Name’ aliomshirikisha Barnaba, umekamata nafasi ya kwanza kwenye chati za muziki wa Afrika Mashariki kwenye kituo cha Soundcity.
“Mungu akiwa upande wangu hakuna cha kunikatisha tamaa,” ameandika kwenye Instagram kufurahia hatua hiyo. “Asante sana @soundcityafrica asanteni mashabiki kwa...
kuniamini, Say my name juu kbs namba moja.”
0 comments:
Post a Comment