Faiza Ally Amefunguka haya Katika ukurasa wake wa Instagram:
Leo nimeamka akili yangu inawaza mapenzi tu... Mkatae mkubali mapenzi
yana nafasi kubwa sana ktk maisha. Na mapenzi hayana baunsa...😅 Mimi
nampenda sana baba mtoto wangu - Nina mpenzi yes lkn nampenda yeye zaidi
- ana mpenzi Sawa lkn hainizui kuongea hisia zangu. Nachekwa Sawa lkn
wanao nicheka hawako ktk maisha yangu Kwa hiyo sio...
muhimu sana na sioni
aibu kusema hisia zangu Kwa mtu ninae mpenda... Nampenda Kila siku Kila
mwaka Na sijui nta Acha lini kumpenda.
Ila naamini Kama Mungu alivyo
mleta-alivyo muondoa Ndio atakavyo nisahaulisha Na kuniletea mwingine
au pengine kum rudisha .... Mapenzi kwangu yana sound hivi➡️➡️➡️➡️
muonyesha unampenda - ajue unampenda- kuwa mkweli- usimuogope- simama
Kwenye ukweli- kuwa halisi Na uache maisha yaendelee - usilazimishe-
usijikaze -usijifiche- usijifanye.
Mimi ni Karatasi jeupe nisome
lkn ni hiari yako kunielewa sio lzm unielewe lkn mwisho wa siku
silazimishi yote heri. Nakupenda sana baba mtoto - pengine una
niona uchafu au sina dhamani lkn moyo wangu ndio ume kuchagua -
usinihukumu -usinichukie iko siku Mungu ataleta heri zake ntakusahau
utapata Amani Na mpenzi wako Na mm Na wangu au labda ntakufa hutanisikia
Tena ila Kwa sasa Naomba uniache vile najisi.
Nakupenda Joseph
Tanzania inajua.... Mama yangu anajua... Mtoto wetu anajua na nitaka
dunia ijueeeeeeeeeee😭 Nakupenda sanaaaaa baba Sasha - usiniulize Kwa
nini.... mm mwenyewe sijui Nakupenda tu hivyo yani ........ Tag him
mwambie mama Sasha anakupenda zaidi Kila siku Na hakunaga Na sizani Na
Kama unapendwa zaidi ya ninavyo kupenda ! Na Kama unapendwa Basi una
bahati sana mshukuru Mungu Maana Natamani kupendwa Kama ninavyo
kupendwa.....💔💔💔 Acha nichoreke haina kwere kuchoreka Kwa ninae
mpenda sio kesi ...😭
Thursday, September 15, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment