Pages

Subscribe:

Thursday, November 10, 2016

AUNT EZEKIEL NI MJAMZITO TENA


Ni mwaka mmoja na miezi 5 imepita tangu staa wa Bongo movie Aunty Ezekiel alipojifungua mtoto wa kike na kuamua kumpa jina la Cookie. Mtoto ambaye alizaa na dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo.

Zimenyakwa za chini ya carpet kumuhusu mwanadada Aunty Ezekiel kuwa amebeba tena ujauzito wa mpenzi wake Mose Iyobo kwa mara nyingine tena. Soudy Brown amepiga story na Mose Iyobo kuhusiana na suala hilo, na Mose Iyobo...
amekanusha vikali uvumi huo na kudai kuwa ni tumbo la shibe tu.
 
Nimekuwekea hapa chini kwenye hii video sauti za Soudy Brown wakati akipiga story na Mose Iyobo kuhusiana na suala hilo.

Play Here 

0 comments:

Post a Comment