Pages

Subscribe:

Thursday, November 3, 2016

BEBE COOL: EATV AWARDS NI JAMBO KUBWA KWA WASANII

 
Msanii mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda, Bebe Cool, amezungumzia #EATVAwards na kusema kuwa EATV wamefanya jambo kubwa kwa wasanii. 

Bebe Cool amesema tuzo hizo ni wazo zuri na pia ni jambo sahihi kwa wasanii kwa wakati huu, kwani hata kwenye siasa tayari wametambua umuhimu wa Afrika Mashariki, Pia Bebe Cool amesema sasa ni takriban miaka 15 tangu...
itambulishwe East Africa Television na East Africa Radio, na kutoa fursa ya muziki wa Afrika Mashariki kusikika, hivyo ni kitu kikubwa kwao.

0 comments:

Post a Comment