Pages

Subscribe:

Thursday, November 3, 2016

JOHN LEGEND AACHIA RASMI COVER YA ALBUM YAKE MPYA


The Legend returns.  John Legend ameachia cover ya album yake ya tano Darkness and Light. John amepost picha kwenye ukurasa wake wa twitter na kuandika...

Image result for JOHN LEGEND DARKNESS AND LIGHT COVER
Hii album itakuwa kazi ya kwanza ya Joh Legend baada ya ukimya wa miaka miwili tangu alipoachia album yake ya mwisho ‘Love in the Future’ mwaka 2013.
John Legend amedai hii ndio ‘Best’ album aliyowahi kuifanya.

0 comments:

Post a Comment