Pages

Subscribe:

Thursday, November 3, 2016

DR. CHINI: SIRUDI BONGO MOVIE MPAKA WEZI WAKAMATWE

 
Msanii nguli wa filamu Tanzani Dkt. Cheni amesema hatarajii kutoa movie hivi karibuni mpaka wezi wa kazi zao kwa kuzisambaza bila vibali watakapokamatwa. 
 
Pia Dkt. Cheni akiongea na ameiomba serikali iwekeze katika tasnia ya bongo movie kwa kuwa imewabeba vijana wengi sana nchini ambao hawana ajira na walio na ajira hivyo...
serikali ikiweza na kusaidia katika kukomesha wizi itatoa ajira kwa vijana wengi zaidi.
 
Hata hivyo Dkt. Cheni amesema wanaosambaza kazi zao ndiyo wezi wa kazi zao japokuwa taarifa zinaweza zikawa hazijaifikia serikali lakini watajitahidi kutoa ushirikiano kwa Mh.Nape Nnauye ili kuweza kuwakamata wezi kirahisi zaidi na kuokoa tasnia hii.

0 comments:

Post a Comment