Rapper Iggy Azalea ametajwa kama Woman of The Year Australia na jarida la GQ. Hivi karibuni Iggy Azalea amekuwa kwenye vichwa vya habari kuhusu mahusiano yake na mnyamwezi French Montana, mbali na hayo pia kuchelewa kwa Album yake pia kumefanya mashabiki kuwa na hamu naye.
Baada ya kutangazwa kuwa Mwanamke wa Mwaka huko Australia, Iggy alitoa shukrani zake wakati akiwa anapokea heshima hiyo na kusema kwamba “Ahsanteni sana, sijajiandaa kwa...
chochote wiki hii, ila nachotaka kusema ni kwamba ahsante kubwa ziende kwa GQ kwa tuzo, nilishinda tuzo nyingi miaka michache iliyopita, ila hii ndiyo heshima kwangu”
Mbali na kuongea ujumbe huo, Iggy Azalea aliingiza utani na kusema kwamba hii tuzo ameita kama ‘Vagina of the Year number one Australian pu$$y”



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment