JUX: SIJUI KAMA NTAMUOA VANESSA MDEE AU KAMA NTAZAA NAYE
Msanii Jux amejibu kuwa hajui kama atakuwa na mtoto na Vanessa wala hajui
kama atamuoa, ila amesema Vanessa amemsaidia kwenye maisha yake kwa kuwa
kuna vitu anavijua na yeye havijui Msikie Hapa:
0 comments:
Post a Comment