Pages

Subscribe:

Thursday, November 3, 2016

LIL WAYNE AOMBA RADHI JUU YA MAJIBU ALIYO YATOA KUHUSU HII ISHU


Lil Wayne amewaomba msamaha mashabiki zake na watu wote baada ya kusema kwamba hazifahamu harakati za wamarekani weusi kupinga unyanyasaji unaofanywa na polisi “Black Lives Matter”.

Kupitia mtandao wa Tmz umeripoti kwamba Lil Wayne aliongea na mtandao huo kuwaomba msamaha watu wote ambao waliguswa na kauli yake aliyoiongea kuhusu...
Black Lives Matter, kikubwa ambacho kilimfanya kujibu vile ni pale mwandishi alipomuuliza kuhusu ishu ya mwanae wa kike kuitwa malaya, hapo ndipo alipoteza mood yote na kuamua kujibu anavyotaka yeye.

“When the reporter began asking me questions about my daughter being labeled a bitch and a hoe, I got agitated From there, there was no thought put into her questions and my responses.”

0 comments:

Post a Comment