Mrembo kutoka ardhi ya 254,kenya Huddah marafu kama huddahthebosschick amefunguka na kuweka wazi juu ya kupotea kwa utamaduni wa kiafrika.
Huddah anasema utamaduni pekee uliobakia Afrika ni wa kabila la kimaasai,mara kadhaa amekua akisikika kwenye interview mbali mbali akisifia utamaduni wa kabila la kimaasai na kuwataka waafrica kuulinda na kuuthamini kwasababu ni alama ya bara la Africa.
smashkilimanjaro inakusogezea maneno ya mrembo huyo Kupitia ukurasa wake wa instagram,Huddah amepost na kuandika...
@huddahthebosschick – Probably the only culture we are left with .THE MAASAI culture. And the beads are constant reminder of my BBA eviction which many of you remember .
Pic @smokii___
#KenyasSweetHeart

0 comments:
Post a Comment