Nicki Minaj ameamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika kisiwa cha Turks and Caicos akiwa na mpenzi wake Meek Mill.
Minaj ambaye kwa sasa ametimiza miaka 34, aliamua kwenda kuenjoy mchanga wa Beach huku ublue wa bahari pamoja na upepo mzuri ambao unatoka kwenye bahari, unamfanya...
kushukuru mungu kwa kuelekea kuumaliza mwaka 2016.
Kupitia kurasa ya Instagram ya Nicki Minaj aliposti picha hiyo hapo chini akiwa na Swimsuit nyekundu ambayo itakufanya uzidi kumtolea macho mwanadada huyo kutokana uzuri wake pamoja na vazi alilolivaa na kuandika maneno yaliyo kuwa yakisema:
“Lord, I thank you for another year of life,#TurksAndCaicos Birthday vibes. Thanks for the [love] u guys. Right back atcha.”
Naye meek mill hakuwa mbali alipost picha hii hapa chini ya mpenzi wake huyo na kuandika: "On a island wit a pretty lil hitta on her bday."
0 comments:
Post a Comment