Pages

Subscribe:

Wednesday, January 31, 2018

UANDISHI WA NYIMBO WAFANYA BARNABA AZIDI KUPIGA MKWANJA MREFU


Thank you Boss @switchstudio_tz
(📸 by @benson_zauso ) for good season 🙏🏿🌂

Staa wa Bongo Fleva mwenye sauti ya kipekee, Elias Barnaba amesema kuwa kitendo cha kuwatungia mastaa ngoma zao hasa wa kike kimemfanya kutengeneza mkwanja mrefu.
 
Akichonga na Risasi Vibes, Barnaba ambaye kwa sasa amejitoa THT na kuanzisha lebo yake ya Hightable Sound alisema, hawezi kutaja mpaka sasa amepata kiasi gani lakini wasanii wa kike wengi aliowatungia ngoma wamekuwa...

KAULI MPYA YA MADEE KUHUSU BEEF LAKE NA ROMA

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hitmaker wa Ngoma ya Sema, Hamadi Ally ‘Madee’ hatimaye amefungukia kile kinachodaiwa kuwa ni bifu zito lililopo kati yake na msanii mwenzake, Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’.

Akipiga stori Madee alisema suala la uwepo wa bifu kati yake na Roma ni hisia tu zinazo-zushwa na mashabiki kutokana na...

LIONEL MESSI KUICHEZEA TIMU YA DAVID BACKAM LIGI KUU LMS

Mess Ampa Ahadi David Beckham
Baada ya nyota wa zamani wa Manchester United na Real Madrid David Beckham kutangaza kuwa yupo mbioni kuanzisha klabu ya soka, nyota wa Barcelona Lionel Messi amempongeza.

Messi ametoa pongezi hizo kupitia video fupi ambapo pia amemwambia Beckham kuwa huenda miaka michche ijayo akaungana naye kuchezea klabu hiyo.

''Kwanza nikupongeze sana kwa hatua hiyo mpya unayoianzisha, naamini kila kitu kitakwenda sawa, na...

MOSE IYOBO, TUNDA NA AUNT EZEKIEL WAWASHIANA MOTO INSTAGRAM

Aunt Ezekieli, Tunda na Iyobo Kimenuka  Wamwagiana Mvua ya Matusi Mitandaoni
Moja kati ya stories zinazotrend katika mitandao ya kijamii Jana Jumanne ya January 30 2018 ni post ya Tunda ambapo alipost picha yake katika ukurasa wake wa instagram na baadae Aunt Ezekiel kumjibu kwa kucomment.

Tunda aliandika: “Afu na wewe Mose kweli unakaa chini unaandika upuuzi kama huo kama kweli ni wewe umeandika basi huna uso wa haya!….inawezekana pia Aunt ndo umejiandikilisha🤣ivi wewe Moze huna haya NAKUULIZA SWALI MOJA TU KWANINI ULINIBLOCK...

LIVERPOOL WAENDELEZA MOTO, ARSENAL JAHAZI LAZAMA



Usiku wa kuamkia leo (Jumatano) michezo minne ya ligi kuu ya Uingereza imeendelea kuchezwa. Arsenal ambao walikaribishwa na Swansea City katika uwanja wa Liberty na walifungwa kwa magoli 3-1.

Magoli ya Swansea yalifungwa na Samuel Clucas kwenye dakika ya 34 na 86 na la tatu lilifunywa na Jordan Ayew dakika ya 61. Goli la kufutia machozi la Arsenal lilifungwa na...

Watch & Download: Lulu Diva_Amezoea (Official Video)


Bby Nionjeshe Nipe Na tenaaa😒 Nikopeshe nipe zaidi ya jana😋
#giveittome Link on My Bio👆🏾

Watch Here

Tuesday, January 30, 2018

ONLINE SHOPPING YAMPONZA SHILOLE AAPA KUTO NUNUA NGUO MTANDAONI



Staa wa muziki wa Bongo Fleva Shilole amesema kuwa anajuta kununua nguo online hii ni baada ya picha yake kuleta gumzo katika mitandao ya kijamii ikiwa imeacha baadhi ya maungo yake wazi.

Shilole hakutegemea gauni hilo lingemkaa kama lilivyokuwa limemkaa kutokana na lilivyokuwa linaonekana kwenye mtandao na kuamua kuandika...

BEKA FLAVOUR: MENEJA WANGU ALINIWAKILISHA KWENYE PARTY YA WCB


Tunakaribia kulipua mitambo kwa funjo mfululizoooo #UMENIMALIZA ipo YouTube @dmkglobal @sirajizo @jonsambila #akikunjuamungukwishakazi asante mungu 🙏🙏🙏

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Bekari Abdul a.k.a Bekaflavour  ametoa sababu ya kutohudhuria kwenye utambulisho wa aliyewahi kuwa msanii mwenzie kwenye Band moja ya “Yamoto Band” Mbosso

Akizungumza msanii huyo anayetamba na Ngoma ya Sikinai amesema kuwa hakuna sababu kubwa ni kucheleweshwa kwa kadi ya mualiko hivyo alishindwa kujiandaa na kufika kwa...

HIVI NDIVYO ARSENAL INAVYOMTESA MADEE

Pamoja na ripoti za leo kutoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari barani Ulaya kueleza kuwa nyota wa Borussia Dortmund na Gabon Pierre Aubameyang anakaribia kujiunga na Arsenal msanii, Madee bado hana imani. 

Nyota huyo wa HipHop anayetamba na ngoma ya 'Nanii' aliyoshirikishwa na msanii wake anayeitwa Gaza ameiambia East Africa Television kuwa, huwa hana imani na tetesi za usajili wa klabu hiyo anayoishabikia mpaka...

MSANII RADIO HALI SI SHWARI SASA KUFANYIWA MAOMBI MAALUMU ILI APONE


Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Radio atafanyia maombi maalumu kufuatia ajali mbaya iliyopelekea kuwa mahututi kwa siku kadhaa sasa, Maombi hayo yameandaliwa kufanyika kwenye kanisa la Light the World lililopo Nansana ambalo linaongozwa na Wilson Bugembe.

Msanii huyo ambaye amekuwa akifanya vizuri na mwenzie Weasel (GoodLife),   tangu January 23 mwaka huu hali yake imekuwa kuripotiwa kuwa mbaya kufuatia...

Download: Mo Music ft Roma_Bajaji (Audio)


Download

Watch & Download: Motra The Future_Mwajuma Cha Utundu (Official Video)


Watch Here

Download

PETER WA P SQUARE AJA NA HII MPYA KUHUSU NGUO

Staa wa muziki Nigeria Peter Okoye kutoka kwenye kundi la Psquare ambaye amekuwa akifanya kazi peke yake kama solo artist tangu kundi hilo liliposambaratika ametangaza ujio wa brand yake ya nguo ambayo itakuja hivi karibuni.

kupitia ukurasa wa instagram wa Peter Psquare ameweka wazi suala hilo baada ya kupost picha akiwa amevaa nguo ambayo...

Watch & Download: Mo Music ft Roma_Bajaji (Official Video)


#PENZIKILOMITA100  #asilimia100% @roma_zimbabwe #next photo by @leey_pics

Watch Here

Download

PICHA ILIYOONESHA VANESSA MDEE KUWA MJAMZITO YAZIDI KUZUA MASWALI

Leo January 30,2018 kupitia mitandao ya kijamii picha ya msanii Vanessa Mdee imechukua headlines baada ya kupata gumzo na wengi kuhisi labda huenda akawa mjamzito.

Kupitia picha hiyo maswali yamekuwa mengi kutoka kwa mashabiki na wengi kuanza hata kutoa pongezi baada ya picha hiyo kusambaa katika mitandao ya kijamii akiwa...

Download: Rosa Ree ft Billnass_Marathon


Download

TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (FORM IV) 2017 HAPA


January 30 2018 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2017’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2017.
Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2017’ 

CSEE 2017

Unaweza pia kuyatazama matokeo ya matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2017 

(QT) 2016

SERIKALI YA KENYA YAZIMA KITUO CHA UTANGAZAJI CITIZEN TV NA RADIO



Vituo vya Citizen TV na Citizen Radio vimezimwa na serikali nchini humo tukio ambalo limehusishwa moja kwa moja na kurushwa kwa matangazo ya kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani nchini humo Raila Odinga.

Citizen TV na Radio walikuwa wakirusha Live tukio la kuapishwa kwa Raila Odinga katika viwanja vya Uhuru jijini Nairobi. Kupitia tovuti ya Citizen TV imeeleza kuwa tukio hilo limekuja siku moja baada ya Serikali...

Watch & Download: Shenseea_Love I Got For U (Official Video)


Watch Here

Download

KUNDI LA NAKO 2 NAKO SASA KUJA NA EP YENYE NYIMBO SITA

Baada ya kuachia ngoma ‘Hardcore’ ambayo inafanya vizuri kwa sasa, kundi la muziki wa hip hop Bongo, Nako 2 Nako linakuja na EP inayokwenda kwa jina ‘Mtaa Unachotaka’

Member wa kundi hilo, G Nako ameiambia Bongo5 kuwa EP hiyo itakuwa na ngoma zipatazo sita zikiwa zimetayarishwa na maproduza wawili tofauti, Maprodyuza waliohusika katika EP hiyo ni DX kutoka Arusha pamoja na Cjamoker, EP hiyo itatoka...

Watch & Download: Soft ft Davido_Tattoo rmx (Official Video)


Watch Here

Watch & Download: D'Ja ft Tiwa Savage_The Way You Are (Official Video)


#repost @mavinrecords: #Dija x #TiwaSavage with @babyfreshmavin on the beat = The Way You Are 🔥🔥🔥🔥. Music video link in @aphrodija’s bio. #Mavin

Watch Here

Download

DIAMOND PLATNUMZ: NIKIWA NA BIFU NA WEMA SEPETU NYIE MNAFAIDIKA NINI


Kumekuwa na maneno kadha wa kadha baada ya Wema Sepetu kuonekana ktk sherehe ya kumtambulisha Msanii wa WCB Maromboso (Mbosso) inasemeka Diamond ndiye aliye mpigia simu Wema sepetu na kumuomba ahudhulie ktk hafla hiyo.

Baada ya Video na picha mbali mbali kusambaa zikimwonesha wema akiwa na Diamond ktk sherehe hiyo mashabiki wa Diamond walimjia juu staa huyo mpaka amefikia hatua ya kupost Video fupi ya Wema na chini yake kuandika...

MAMA DIAMOND ARUSHA DONGO BAADA YA VIDEO YAKE AKIWA NA WEMA KUSAMBAA


Maneno yamekuwa mengi baada ya Wema Sepetu kupanda kwenye stage na kumuita Diamond Platnumz wakiwa Maisha Basement na wengi  kujiuliza kuhusu ukaribu wao tokea wakiwa Hyatt Regency katika utambulisho rasmi wa msanii Marombosso katika record label ya WCB.
Mama Diamond akaamua kupost instagram sehemu ya video clip Wema akiwa kwenye stage na kuandika...

Monday, January 29, 2018

Download: Gigy Money_Mimina (Audio)


🔥Bongo Cardi G ❤️

Download

ZARI AMTAKA MAMA DIAMOND WAHAME MADALE NYUMBA ISHAKUWA GUEST HOUSE



Bado inaonekana ishu ya Diamond Platnumz kudaiwa kulala na wasichana wengine nyumbani kwake Madale, mama watoto wake Zari The Boss Lady hajaichukulia poa na inadaiwa kuwa amekasirishwa na tuhuma hizo zilizosambaa katika mitandao ya kijamii.

Diamond siku kadhaa zilizopita alidaiwa kupeleka msichana mwingine na kulala nae nyumbani kwake Madale, ila baada ya kuenea kwa video clip ikimuonesha msichana huyo akiwa Madale, Zari alionesha...

Watch & Download: Banky W_Love U Baby (Official Video)


Watch Here

Download

Watch & Download: Gigy Money_Mimina (Official Video)


Watch Here

Download 

Download: G Van_We Acha


Download

WASTARA AWAJIBU WANAO MTUHUMU KUWA TAPELI

Msanii wa filamu wa bongo Wastara Juma ambaye hivi karibuni amepewa mchango wa milioni 15 na familia ya Rais Magufuli, amewajibu watu wanamtuhumu kuwa tapeli kwani hana ugonjwa unaomsumbua. 

Akizungumza na mwandishi wa www.eatv.tv Wastara amesema kabla ya kuomba michango alijitahidi sana kujitafutia mwenyewe hiyo pesa kwani hakutaka pesa ya mtu mwengine ije imsaidie, kwani alijiona anakuwa...

ARSENAL WAKUBALI KULIPA PAUND MIL 55.4 YA PIERRE AUBAMEYANG



Klabu ya Arsenal imekubali kulipa kitita cha paundi milioni 55.4 kwa timu ya Borussia Dortmund ili kupata saini ya straika wao, Pierre-Emerick Aubameyang dili ambalo linaweka rekodi ndani ya timu hiyo kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa kwa kiwango kikubwa cha fedha.

Arsenal imempatia, Aubameyang mkataba wa miaka mitatu na nusu ambao atakuwa akilipwa paundi 180,000 kwa wiki wakati timu hiyo ikiwa katika harakati za...

KOCHA WA MAN U JOSE MORINHO AAMURU KABATI LA SANCHEZ LIHAMISHWE



Meneje wa Manchester United, Jose Mourinho ameamuru kabati la kuhifadhia vifaa na jezi la mchezaji wake mpya.

Alexis Shanchez lihamishwe kutoka lilipokuwa awali na kuwekwa karibu na kinda wa timu hiyo mwenye umri wa miaka 19, Marcus Rashford katika chumba cha...

WEMA: NIMEFURAHI KUJUMUIKA NA WCB KUWAPA KAMPANI

“Nilipigiwa Simu na Nasbu ‘Diamond’ Akaniomba Nikamkubalia- Wema Sepetu
MSANII wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa alipigiwa simu na X wake ambaye ni Diamond Platinumz akimuomba afike Hyatt Regency Hotel kwa ajili ya kujumuika na watu wengine kwenye hafla ya kumtambulisha msanii mpya wa WCB, Maromboso ambapo hafla hiyo ilifanyika usiku wa kuamia leo.
“Nilipigiwa simu na Nasbu ‘Diamond’ akaniomba nije kwenye hafla ya kumtambulisha msanii wao mpya wa WCB, nikakubali nikamwambia...

Download: Smashkilimanjaro Android Application

Related image

Download

Watch & Download: Migos_Stir Fry (Official Video)


Watch Here

Download


NYANSHINSKI ATOA NENO KWA DIAMOND PATNUMZ KUPITIA TWITTER


Kupitia mtandao wa twitter msanii kutoka kenya Nyashinski ametweet ujumbe kuelekea wa diamond akimri kwa kusema

Soon Diamond Platnumz will learn to make hits, but not from outside Afrika. He should know! "Hivi karibuni Diamond Platnumz...

GRAMMY WAMZAWADIA JAY Z TUZO YA HESHIMA

JAY-Z akipokea tuzo ya heshima ya Grammy “2018 Salute To Industry Icons Award “ Pia anawania vipengele 8 kwenye tuzo hizo. JAY-Z amevaa suit iliyotengenezwa na Musika Fereré na saa ya ‘Rolex perpetual calender’ iliyotengenezwa na...

Download: Motra The Future_Mwajuma Cha Utundu


Download

Download: Mbosso (Marombosso)_Wata Kubali (Audio)


Download

MIMI MARS: NIPO SINGLE JOH MAKINI NI KAKA YANGU

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni mdogo wa msanii Vanessa Mdee, amefunguka tuhuma za kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Rapper Joh Makini.

Akizungumza, Mimi Mars amesema yeye na Joh Makini ni sawa na mtu na kaka yake, kwani Joh Makini alikuwa rafiki kipenzi wa kaka yake. “Mahusiano yangu mimi na Joh Makini ni ya kidada na kaka, kwa sababu Joh Makini ni...

DRAKE AONESHA MAPENZI YA SIKU KWENYE BIRTHDAY YA MAMA YAKE


Ikiwa leo, January 29 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa (birthday) ya mama mazazi wa Drake, Sandi Graham , msanii huyo hajachukuliwa poa siku hiyo.

Drake ambaye mara  kadhaa amekuwa akionekana katika matukio makubwa kama ugawaji wa tuzo akiwa na mama yake, ameshare picha tatu wakiwa pamoja na kuandika...

PICS: TAZAMA WCB WALIVYO MTAMBULISHA MAROMBOSO RASMI


Burudani ya aina yake imepigwa na wasanii wa Lebo ya WCB usiku wa kuamikia leo wakati kumtambulisha msanii mpya katika kundi hilo, Mbosso ambaye awali alikuwa Yamoto Band kabla ya kundi hilo kuvunjika. Tazama picha za tukio zima hapa chini...

DIAMOND: SIYO KILA MWANAMKE MZURI NATEMBEA NAYE MIMBA YA TUNDA SI YANGU


Hatimaye msanii kutoka industry ya Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameamua kuanika kuhusu tetesi za kumapachika uzauzito Video Vixen wa Bongo, Tunda.

Akifanya mahojiano maalum ya Global TV Online, Diamond amekanusha kumpachika mimba staa huyo na kudai kuwa hajawahi hata kutebea naye wala...

Watch & Download: Fabolous x Jadakiss_Soul Food (Official Video)


Watch Here

Download

MOTO WAZUKA NA KUACHA WATU BILA MAKAZI NCHINI KENYA


Moto uliowaka usiku wa kuamkia leo katika eneo la kijiji Langata, Nairobi nchini Kenya umeteketeza nyumba zao na kuwaacha bila nyumba za kulala, Moto huo ambao chanzo chake bado hakijabainika ulizuka mwendo wa saa mbili jioni na kuenea kwa haraka.

Magari ya kuzima moto ya baraza la jiji yalifika baadaye, lakini wakazi waliwalaumu maafisa hao wa serikali kwa kuchelewa kufika eneo la mkasa. Moto huo baadaye ulizimwa, ingawa...

MIMI MARS: ASLAY NI JUSTIN BIEBER WETU WA BONGO (Video Interview)


Watch & Download: Marombosso (Mbosso)_Wata Kubali? (Official Video)


Sunday, January 28, 2018

SASA UNAWEZA KUWAPIGIA KURA WATANZANIA TUZO ZA AMI HAPA


The rest of the nominees flyers will be out this Monday Jan 15th. Thanks 🙏 for your patience dear Artists #AMIAwardsTeam

Uzalendo kwanza ifanye tuzo ya Ami itue Tanzania kwa kuchagua msanii kutoka Tz katika kipengele husika bonyeza neno Vote here hapo chini na uende kwenye kipengele husika.

Vote Here

BINTI AJIUA BAADA YA KUTUMA SMS KIMAKOSA KWENDA KWA MPENZI WAKE

Msichana wa miaka 17 Charlotte Guy ambaye ni mwanafunzi wa chuo nchini Uingereza hivi karibuni amekutwa amejinyonga baada ya kumtumia mpenzi wake meseji kwa bahati mbaya aliyotaka aitume kwa rafiki yake ya kumwambia kuwa amelala na mwanaume mwingine.

Inaelezwa kuwa Charlotte alituma meseji hiyo kwa mpenzi wake huyo Jack Hurst mwenye miaka 20 ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo kingine, akiwa anataka kumwelezea rafiki yake jinsi...

NANDY: HAKUNA KUWADI WA KUNIPELEKA KWA PEDESHEE

Msanii wa muziki wa bongo fleva Nandy ambae anafanya vizuri kwa sasa na wimbo wake wa 'kivuruge' amefunguka na kudai hakuna mtu yeyote atakaeweza kumuunganishia kwa wanaume wenye pesa (pedeshee) bali kama watamuitaji wataenda wenyewe kwake. 

Nandy ameeleza hayo baada ya kuwepo tetesi za muda mrefu zinazodai kwamba msanii huyo amesababisha kuvunjika kwa kundi la 'LFLG' kutokana na aliyekuwa meneja wake ambae ni Petit Man kumkuwadia kwa...