skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND: SIYO KILA MWANAMKE MZURI NATEMBEA NAYE MIMBA YA TUNDA SI YANGU
Hatimaye msanii kutoka industry ya
Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameamua kuanika kuhusu tetesi za
kumapachika uzauzito Video Vixen wa Bongo, Tunda.
Akifanya mahojiano maalum ya Global TV
Online, Diamond amekanusha kumpachika mimba staa huyo na kudai kuwa
hajawahi hata kutebea naye wala...
kuwa na mahusiano naye.
“Sio kila mwanamke mzuri ninatembea nae mimi tu, sijawahi kuwa na mahusiano na Tunda,” alisema Diamond.
0 comments:
Post a Comment