Member wa kundi hilo, G Nako ameiambia Bongo5 kuwa EP hiyo itakuwa na ngoma zipatazo sita zikiwa zimetayarishwa na maproduza wawili tofauti, Maprodyuza waliohusika katika EP hiyo ni DX kutoka Arusha pamoja na Cjamoker, EP hiyo itatoka...
rasmi February 5 mwaka huu ila kinachofanyika sasa ni pre-order.
G Nako ameongeza kuwa mara baada ya kutoa video ya ngoma ‘Hard core’ member wote Nako 2 Nako wapo location kushoot video nyingine kutoka katika EP hiyo.
0 comments:
Post a Comment